BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

Aiseee
Nawaonea huruma uliowazalisha, hawajui unachowaza
 
Na wanajichetuaga tu ila kelele zetu wanazipenda sanaaa.

Wasubirie tu maroboti sasa, kama nawaona watakavyomiss makelele🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Inaitwa silent treatment, upo lakini Kama hakuoni, ukichelewa kurudi huulizwi, usipopiga simu hupigiwi....afu tendo la ndoa ukiomba unapewa🤣🤣🤣 lazima ukonde.
 
Inategemea na roho ya mtu,kuna wengine ukibeep tunapokea...mimi ilinitokea nkaongea nae akawa bdo analeta mapozi,huwa namuomba mungu asinipe stress za mapenzi kwenye maisha yangu..kilichofuata mpka leo yeye ndio ananitafuta mimi huo mda sina
Shukuru hukuwekeza Moyo wote, ndo mana ulipata nguvu za kuondoka....imagine ndo mkeo anakufanyia hivyo....akikaa na watoto anacheka, ukibaki naye kimya🤣🤣
 
Ewaaaaa...ukiona mwanamke Hana kelele ogopa sana
Mwanamke ni kelele, usipompigia simu alalamike, ukichelewa kurudi anune....akupe michapo ya umbea, akusimulie mipango yake ya kiuchumi ya kusadikika🤣🤣🤣 huyo ndo mwanamke, ukiona ghafla hununiwi, ujue kuna mtu ananuniwa huko🤣🤣
 
Kwahiyo kwakifupi unachanganyiwa na kuvuruga maisha yako sababu demu ambaye kwa akili zake ameamua kusaliti mipango yenu na kuolewa halafu wewe unaumia na mademu wazuri walivyojaa huku mtaani unasusa mahusiano, kweli?!
 
Pole sana mkuu me nshaacha mpango wa kuwa na mwanamke maishani na stakuwa nae tena nna mpenzi huwez amini nilikuta kaandaka boyz alowah kuwa nao na ambao ashafanya nao mapenzi alafu siku zote namuuliza anasema hajawah kutana na mtu yeyote ingawa me ndo nilimfungua B yake ila hapo alinivunja moyo wa kuendelea kuwa nae
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inaitwa silent treatment, upo lakini Kama hakuoni, ukichelewa kurudi huulizwi, usipopiga simu hupigiwi....afu tendo la ndoa ukiomba unapewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima ukonde.

Silent treatment ni emotional abuse aisee, hiyo kitu ni mbaya. Bora mkae muongee kama watu wazima instead of silence
 
Shukuru hukuwekeza Moyo wote, ndo mana ulipata nguvu za kuondoka....imagine ndo mkeo anakufanyia hivyo....akikaa na watoto anacheka, ukibaki naye kimya[emoji1787][emoji1787]

Sio watoto, akikutana na ndugu zake , marafiki zake amechangamka kweli, mkirudi ndani ukimya unaingia gafla, hakuna kuchekeana, ukiuliza swali unajibiwa direct,hakuna amsha amsha.

Ukishafika hapo, taa nyekundu inabidi iwake kichwani
 
🤣🤣🤣 Inaitwa silent treatment, upo lakini Kama hakuoni, ukichelewa kurudi huulizwi, usipopiga simu hupigiwi....afu tendo la ndoa ukiomba unapewa🤣🤣🤣 lazima ukonde.
😂😂😂😂
 
Hapo mkichelewa kidogo kuyajenga ndo unasikia mkeo anaolewa wiki ijayo, ndo unaanza kujiuliza how?
 
Uzi mzuri sana haswa kipengele cha mwisho
 
Hao wanawake wanaochanganya namna hiyo wanaume huwa wanapatikana wapi? Binafsi naona huo ni udhaifu
 
🤣🤣🤣 Inaitwa silent treatment, upo lakini Kama hakuoni, ukichelewa kurudi huulizwi, usipopiga simu hupigiwi....afu tendo la ndoa ukiomba unapewa🤣🤣🤣 lazima ukonde.
Exactly alichonifanyia huyo Vee, yaan hakuwahi kuninyima mbususu, hata kabla sijapata kadi ya harusi yake, wiki mbili hivi kabla nilitoka kusex nae. Lkn huo ukimya wake aisee, na anakua kama gogo kitandani, atajigeuza geuza tu kufuata ww unavyomgeuza, wanawake hapo mlituweza aisee
 
Kwahiyo kwakifupi unachanganyiwa na kuvuruga maisha yako sababu demu ambaye kwa akili zake ameamua kusaliti mipango yenu na kuolewa halafu wewe unaumia na mademu wazuri walivyojaa huku mtaani unasusa mahusiano, kweli?!
Nishasema kutype ni rahisi, hii situation mnaongelea sababu hayajawakuta. Narudia tena hata majenerali shupavu, viongozi shupavu, wafalme shupavu walikuja kupotezwa kisa mapenzi, kwenye keyboard zenu mtatype mnavyotaka ila kwenye reality mapenzi yana nafasi yake, Mungu alipomuweka Eva pale eden unadhan lengo lake ni nn ww unaweza kuwa na akili kuzidi aloamua hvo? Narudia tena, MWANAMKE NI DHAIFU ILA UDHAIFU WA MWANAUME NI MWANAMKE, kama hujakutana na wako bado, kaa tu utulue

Mfano ukikutana na hizo silent treatment au breakup nzito itakuachia trauma hutosahau.

Na kwa kuweka rekodi sawa, hamna sehemu nimesema nimechanganyikiwa na maisha yangu, I FVCK A PVSSY, SUCK A PVSSY, AND LEAVE IT THERE, mambo ya commitment kwenye relationship ndo nimeyaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…