Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.
Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.