Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwa hili la AL Assad nadhani tumepondwa na hapa luza zaidi namuona Iran 🇮🇷 ingawaje leo Ayatollah kajitutumua ila ngoja tutoe muda zaidi tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kuandika hiki but mkuu umemaliza, kuongezea hi ni sawa na kuongeza chumviReally, are you serious?
Hii miaka 13 iliyopita Assad alikuwa anafanya nini?
Kama hakutaka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nini hakuondoka Syria tangu 2011?
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.
Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708