Nidaataibani
Member
- Feb 2, 2023
- 82
- 76
Angalia zezeta hili halijui kuwa 3500 inachochewa na mfumuko wa bei na kupotea kwa thamani ya fedha ya Tanzania!3500 ni Bei ya mwisho kwa mlaji inayopangwa na mchuuzi alyeuziwa na mkulima,uwe unatumia akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia zezeta hili halijui kuwa 3500 inachochewa na mfumuko wa bei na kupotea kwa thamani ya fedha ya Tanzania!3500 ni Bei ya mwisho kwa mlaji inayopangwa na mchuuzi alyeuziwa na mkulima,uwe unatumia akili
AsanteBashe ni kaka shujaa wa kilimo
Samia ni mama shujaa wa kilimo
Mwezi wa Tano ni kipindi Cha mavuno,ni kawaida Bei kushukaHilo ni kweli lakini huwezi kufikia hitimisho kuwa ukimuachia sana mchuuzi ni 200!! mala ngapi unakuta mtu ananunua kwa mkulima kilo tsh 1280 anaenda kuuza sokoni kwa tsh.1900-2000?tena kama kwa mchele ni zali tu la mwaka jana,ngoja kuanzia mwezi wa tano utaniambia kama hamtaanza kupiga kelele juu ya bei.
inategemea na hali ya mavuno!!mbona msimu uliopita huo mwezi wa tano ndipo bei zilianza kupanda!!ila kwa mwaka huu sio haba!!Mwezi wa Tano ni kipindi Cha mavuno,ni kawaida Bei kushuka
Umenena Kweli !!Wewe ni moja kati ya watu wa hovyo katika nchi hii.
Kilimo kikistawi, utajiri utarudi vijijini, kuwapangia bei, kunakatisha tamaa vijana kuingia katika kilimo na kukimbilia bodaboda.
Nchi hii ajira hakuna, lakini kazi zipo, mwakani kama bei nzuri Kila mtu atarudi shambani, akauze Kenya, Burundi, Rwanda,uganda
Aisee. Great thinker kweli?Bashe anitajie mkulima mmoja tu wa mpunga ambaye ameuza mchele wake sh 3500 kwa kilo.
Unaongelea bunge gani la kupewa heshima? Hawa walipiga makofi kwa wananchi kulimbikiziwa tozo na kodi? Rubbish parliamentRais Samia hajawahi kufanya kosa hilo hata siku moja kudharau Bunge? hiyo kazi wanaiweza Mwigulu, Makamba na Bashe tu
Huyo amejitoa ufahamu. Anawaza kuwa mkulima akimaliza kuvuna afanye packing apeleke Tandale kwenye soko, halafu akae kwenye mzani kusubiri walaji. Halafu eti ni great thinker wa JF3500 ni Bei ya mwisho kwa mlaji inayopangwa na mchuuzi alyeuziwa na mkulima,uwe unatumia akili
Mwaka jana ipi? Mi nimeuza july 2020 sh 2000 kilo leo nauza 2800 hadi 3100 anayekuletea wewe unataka akuuzie sh?Acha ufala mwaka jana miezi kama hii kipindi cha mavuno mkulima aliuza mchele 1300 kwa kg leo hii tunaongelea bei zaidi ya mara mbili, sasa ebu niambie anayeuza bei ya 3500 ni mkulima au mfanya biashara
Huwezi kumuelewa Bashe ndio maana umeibuka na hii hoja yakoJe Wabunge nao wakiamua kueleza ukweli juu ya makampuni yanayohusika na kuuza mazao ndani na nje ya nchi na mahusiano yao na Bashe yuko tayari kuwajibika?
Aliyekuambia wakati wa mavuno mchele uliuzwa chini ya 1700 amekudanganya tu uliuzwa 2000Wewe ni mkweli nakupongeza Kwa ujasiri. Wachuuzi wa kisomali waliopewa mitaji na kina Bashe ndo wanaotesa Wananchi Kwa Sasa. Haiwezekani Mtu ununue kitu Kwa 1200 baada ya miezi minne uuze kitu hicho hicho Kwa 3800 halafu Waziri anashadadia wizi.
Wafanyabiashara wakinufaika maana yake wanapandisha bei na mkulima ananufaika.Wakulima wauze mahindi nje ya nchi au wafanyabisahara wakubwa wauze nje ya nchii....hahahaha nawaonea huruma wakulima...wafnya bishara ndo wanufaika wakubwaa
Kwa kawaida gunia la mpunga la debe SITA huwa 40k kipindi Cha mavuno,na huwa tunauza ule mpunga uliolowa,ukikoboa unatoka Kama pilau,mwaka wa kawaida oktoba gunia huwa 80k,mwaka huu huenda chakula kikawa kingiinategemea na hali ya mavuno!!mbona msimu uliopita huo mwezi wa tano ndipo bei zilianza kupanda!!ila kwa mwaka huu sio haba!!
Unajua maana ya conflict of interest?Bashe kuwa na hayo mahusiano sio kosa, kosa lingekuwa kama anawapendelea hao washirika wake na kuacha wengine wateseke, ila kama karuhusu kwa wote basi hio haina shida kabisa