Ila kwa mvua zinavyonyesha vizuri mpaka sasa na watu walivyojitokeza kulima kwa wingi tuombe Mungu mambo yakiendelea hivi mwakani bei ya mazao itashuka sanaWaziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia
View attachment 2487254
Na waziri anayehusika na mafuta ya magari, huo mwaka 2020 alikuta yanauzwa bei gani? Na sasa ni bei gani?Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia
View attachment 2487254
Nitajie nchi ambayo vitu havijapandaNa waziri anayehusika na mafuta ya magari, huo mwaka 2020 alikuta yanauzwa bei gani? Na sasa ni bei gani?
Nimaanishacho kila sehemu vitu bei imepanda. Wa kulaumiwa si Bashe pekee, bali ni serikali nzima inayoongozwa na mama
Kwahiyo tunaishi maisha ya nchi za nje? Haya, unafahamu bei ya mafuta ya magari huko Bahrain?Nitajie nchi ambayo vitu havijapanda
Nenda ukalime na wewe ufaidike, acha kuliaNa haitashuka kwa sababu wanunuzi wa mazao kutoka nchi za Kenya, Uganda, Kongo, Malawi, Zambia, Rwanda na Burundi wako mashambani wananunua wenyewe mazao
Tunaishi maisha ya duniani, na duniani kote bei ya mafuta na vyakula imepandaKwahiyo tunaishi maisha ya nchi za nje? Haya, unafahamu bei ya mafuta ya magari huko Bahrain?
Unafahamu bei ya mafuta ya magari Bahrain?Tunaishi maisha ya duniani, na duniani kote bei ya mafuta na vyakula imepanda
WazaziHivi ukienda kwenye familia ukakuta Kuna upuuzi mwingi unafanyika, wakulaumu ni watoto au wazazi?
Ndio watu wote hatuwezi kulima, ila kuna baadhi ya watu mjini wanatakiwa waende wakalime, wale ambao wanashindwa kumudu kununua vyakula kwa kuwa vimepandaWatu wote hatuwezi kulima, na kwa taarifa yako hakuna mkulima anayenufaika na ongezeko la bei ya mazao
Natumaini mwenye uzi wake atakuelewa; ili abadilishe uelekeo wa lawama zakeWazazi