Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

Ndio watu wote hatuwezi kulima, ila kuna baadhi ya watu mjini wanatakiwa waende wakalime, wale ambao wanashindwa kumudu kununua vyakula kwa kuwa vimepanda
Kwahiyo kilimo ni bure kabisa hakina uhitaji wa fedha..!!
 
Upungufu hautokei kila mwaka, mfano mwaka huu mvua zinaendelea kunyesha tu vizuri
hata hivyo serikali kila mwaka lazima inanunua mahindi na kuyahifadhi kwenye maghala
Naam ndio hivyo sio kila mwaka na sababu kila mtu anajua hivyo ni rahisi sana ku-prepare for the so called rainy day
Vitu kupanda ndio kutokana na huo upungufu sasa, ni lazima ingetokea tu
Hakuna ulazima kama unajua itatokea na una-prepare kwa kitakachotokea mbona rahisi tu..., tunajua chakula ni muhimu kama capacity yetu ya production inasuasua na hatuwezi kulikuwa kuna ulazima wa kuwakataza eti magereza wasijihusishe na mambo kama haya ya production na ukulima eti tunalinda private sectors..., Yaani ni mwendo wa Biashara za Pwagu na Pwaguzi
Kama hukuona serikali ikinunua mahindi mwaka jana kutoka kwa wakulima unahitaji kwenda kutafuta taarifa zaidi kabla ya kuja kubishana hapa
Nitafute habari za nini ingenunua vya kutosha sasa hivi impact ya bei kupanda maradufu isingekuwa hivi
 
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.

Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Tatizo siyo bashe tatizo ni zuzu aliyopo ikulu
 
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.

Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Kama mchele wanalima wakulima wacha wafaidike na jasho lao! Hata sk moja sijaona anayetetea mapato ya mkulima. Hivi mkikokotoa bei ya mazao bado mnafikiria kiasi cha mbolea, dawa, na nini na mnasahau nguvu ya mkulima hasa asiye na mashine? Valuing farming labor
Nimemuona Bashe juzi akiwashughulikia wafanyabiashara wanaokopa na kuibia wakulima!
BADO ninaamini! Kwa CCM yote BASHE IS MY PRESIDENT!
 
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.

Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Ajitafakari tu
 
Unauza bei kubwa unaenda kununua bei kubwa ,nadhani hii nihesabu ya mfumuko wabei.
 
Bashe yupo kwa ajiliya wakulima, mkulima ninachotaka ni bei nzuri na soko la uhakika.
Mbolea na mafuta imepanda bei dunia nzima the same to Tz.Hamna ruzuku kwa mkulima, njia pekee ya kufanya mkulima aendele kulima ni ipi?
Ni bei nzuri na soko.
Bei na soko lipo kwa nchi jirani.
Mwaka 2014 kwa kuhofia uchaguzi wa 2015 serikali ilizuia chakula kwenda nje, mim nilikuwa na gunia kadhaa za mahindi dodoma, hata wa kumpa kwa gunia 15,000 nilikosa.
2016 wengi hatukulima , kwa mara ya Kwanza bei ya unga wa mahindi ilifika 2,200 ikiwa juu ya mchele kwa kilo.

Kilimo hakiitaji siasa, fungua mipaka watu walime, funga mipaka tengeneza umaskin vijijini
Mkuu nilichogundua umu tunapoongea na wengine kula kulala awajawai kulima na kazi awataki kufanya wao ni pool na kubet tu kwa sababu wana cm na wanaweza kuchati basi kila kitu wanaleta siasa wengine wanafikiri hii bei ya sasa ya sembe ya tsh1800-2000/= aijawai kutokea unawaambia mwaka 2016 tulinunua sembe mpaka kilo 2500/= anakujibu iyo Tanzania aijawai kutokea labda yesu aludi
 
Ni kweli ndugu
 
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.

Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Bashe kakosea wapi?Mkulima anapashwa alime kilimo kimulipe.Ingia kwenye majaruba ya Michele uone adha iliyomo.
 
Zile pesa za ruzuku ya mbolea zinatokana na Kodi ya nani, mweleze wanaofaidika ni wafanyabiashara sio wakulima
Mbolea ya Ruzuku hii unayolazimika kuifuata km 200+ halafu ukapange foleni ya wiki kupata.

By the way Bashe alikuta mbolea tunanunua 60k kwa Urea na CAN 45 aliyeipandisha hapo ni nani na analeta Ruzuku lakini bado iko pale pale ?
 
Back
Top Bottom