BASHE: Hayati Magufuli aliniambia mfumo wa korosho ungefeli angenitumbua na Kuniweka ndani

BASHE: Hayati Magufuli aliniambia mfumo wa korosho ungefeli angenitumbua na Kuniweka ndani

Bush mpaka leo anadunda!
Obama mpaka leo anadunda na ameua watu wengi sana huko duniani kwa ajili ya maslahi yake!
.mungu wako angekuwa na akili kama angeiua ccm, maana mpaka leo bado inakutesa!
Walinda legasi mmechachamaaa🤣🤣
 
Bush mpaka leo anadunda!
Obama mpaka leo anadunda na ameua watu wengi sana huko duniani kwa ajili ya maslahi yake!
.mungu wako angekuwa na akili kama angeiua ccm, maana mpaka leo bado inakutesa!
The number of people that Bush killed in Iraq haielezeki ila jamaa anadunda tu...bt no one what to talk abt it
 
Hayati hakuwa na muhali zingua akuoneshee sebene tena hapo hapo.
Kama nime muelewa vizuri bashe Inaonekana ndani ya selikali ya magufuli kulikuwa na watu walio kuwa wana mdanganya muheshimiwa kwa kumu aminisha uongo na kwa maslahi yao…,
Kwa kauli ya Bashe nimeamini kwamba ni kweli korosho zilitupwa baharini, maana zilidoda kweli kweli
 
Magufuli alikuwa na nguvu sana halafu kuna wajinga wajinga wanaamini hakushinda uchaguzi wa 2020
Usiishie hapo kwa yeye kushinda, endelea kwenye ushindi wa wabunge wote wa CCM..., hadi huko mitaani ikawa ni CCM tupu!
 
Sikiliza clip Bashe is such a gentleman; siku zote anamnenea vizuri Magufuli.

Anachosimulia ni kwamba alitoa wazo boss akauliza una uhakika na unachonadi, akajibu nina uhakika. Magufuli akasapoti mpango wake hadharani ila akamwambia ukibuma utajuta.

The guy is very loyal, yeye anataka kazi yake iongee kwa boss wake ata huyu aliyepo sio kuishi kwa kujipendekeza tu kama vijana wenzake ambao ni mawaziri.
Huyo jamaa basi tu, natumaini hana mazito yaliyojificha, ambayo ni kinyume na mwonekano wake anaouonyesha.
 
Maisha ya mtandaoni mengi ya kuigiza au hujui. Kwani lile sakata la kuiba hela hazina hela alizificha nani? watu wale wa kanda ya kaskazini kule ziwani kama sio bwasheee
Uh-Oh!
Tufunulie basi, nasi tupate ufahamu!

Sasa unazibaziba hivi unategemea iweje?
 
Sikiliza clip Bashe is such a gentleman; siku zote anamnenea vizuri Magufuli.

Anachosimulia ni kwamba alitoa wazo boss akauliza una uhakika na unachonadi, akajibu nina uhakika. Magufuli akasapoti mpango wake hadharani ila akamwambia ukibuma utajuta.

The guy is very loyal, yeye anataka kazi yake iongee kwa boss wake ata huyu aliyepo sio kuishi kwa kujipendekeza tu kama vijana wenzake ambao ni mawaziri.

..Bashe anasema mpango wa Jpm kwenye korosho ulifeli.

..Kwamba wangeendekeza msimamo na ujuaji wa JPM kungekuwa na korosho za misimu miwili ktk maghala.

..Ndio maana Bashe anasema yeye aliamua kujilipua kwa kuja na wazo tofauti na msimamo wa JPM.

..Na kwasababu Bashe alikuwa na mawazo tofauti JPM akatishia kumfunga.

..Sasa hapa tujiulize ni wangapi walikuwa wana NIDHAMU YA UOGA ktk utawala wa JPM? Ni wangapi walikuwa na ideas nzuri za kulisaidia taifa lakini walikatishwa tamaa na tabia za ukatili za bwana mkubwa?

Cc Tindo
 
Ingekuwa ni biashara tungesema anadhani kauaga umasikini. Anajiamini kaukataa mwenyewe anaita wenzie majina kama ma houseboy vile. Na hivi kajua bi kubwa ni mlevi wa dini na rangi basi anaamini anaweza kukaimu hata uraisi. Duh
 
The number of people that Bush killed in Iraq haielezeki ila jamaa anadunda tu...bt no one what to talk abt it

Kuna tofauti kati ya kuua raia wako wanaokukosoa wakati wa amani na kuua raia wa nchi nyingine vitani kupitia majeshi. Bush angeteka, kutesa na kuua Wamarekani kwa kutumia watu wasiojulikana ingekuwa habari nyingine kabisa. Na kwa Marekani isingewezekana. Vita za Marekani Iraq, Afghanistan na kwingineko zimezungumziwa sana hapa JF na kwenye media zote duniani. Uovu hata wa kimataifa haushabikiwi na watu wenye akili.

Urusi Putin anashambuliwa kwa kuteka, kutesa na kuua wapinzani wake nchini mwake sio kwa malaki ya waSirya au waUkraine aliowaua katika vita.

Usilinganishe mambo tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom