Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Zile zinazofanya mtumishi unaajiriwa unapangiwa kituo Cha kazi unafika eneo unakuta jengo lipo kwenye msingi na limeota majaniKama kuna Mdau yupo huko atuambie nini kinaendelea usikute wanamtumia mama Ripoti za Uongo tu kama walivyozoeaa.
Habari za muda huu
Kama kichwa kinavyosema namuomba mkuu BASHE aseme mafanikio na maendeleo ya BBT yake ilipofika maana mpaka sasa hatuoni matunda na hiyo kitu. Je, wamelima mazao ya mwaka mmoja au wamelipa zabibu tu?
Maana kuna madogo wanasema mpaka leo hiii bado wapo mtaani na hawajachukuliwa na waliochukuliwa wazazi wao wanalazimika kuwatumia pesa za kujikimu na BASHE hatumsikii akiongelea hicho kitu, hata wizara ya kilimo nayo imekaaa kimya.
Mfano MATI ILONGA walinunua chakula hao BBT wenyewe hakuna JITOKEZE BASHE UNIJIBU
Nilishangaa kuona Eti wanalima Chinese[emoji23][emoji23][emoji23] hii nchi hiiIle project niliona haina mwelekeo sababu bado inajikita kwenye uzalishaji ambapo kwa Tanzania sio tatizo yaani wakulima wengi wanazalisha sana tena kwa mbinu mbalimbali
Nadhani ni vema wizara ikajikita katika kutafuta na kusimamia masoko ya mazao hapo ndo uchawi wa wakulima wote ulipo.
Nasikia pesa yote wanachumua na boss wake. Wamenunua kiwanda cha Tumbaku Morogoro na wanaanza tena kujenga. Kimebatizwa jina ni MKwawa!Habari za muda huu