Huyu ana akili kweli ,bunge lijadili upuuzi wake eti kwa kuwa kaambiwa kuna kundi la watekaji TISS yeye ni kiongozi na anajua wapi kwa kupeleka hizo tuhuma za uzushi,halafu bado anaendelea na uongo wake eti kaongea na Askofu mmoja wa katoliki na kaona dalili za kudorora kwa uhusiano ,huu si upumbavu kwa mbunge anayejifanya msomi na muelewa kwa hiyo uhusiano wa wa JPM na kanisa ukidolola ndio nchi itakufa,na hajui kwamba nchi haina dini huu ni jinga na uchonganishi na ni kutaka kupata huruma ya kanisa,sijui ni kwa lengo lipi,wengine wana kwao sisi hatuna kwetu zaidi ya hapa Tanzania,Bashe aache kutumika kwa ajenda zake za kipuuzi pamoja na kundi lake,kutwa ni kulalama tu kwa mambo ya kipuuzi sijui huko ndio kuwaletea maendeleo wana Nzega.Kama watu wamekutumia ujumbe upeleke mahala panapo husika na si bunge liache kujadili mambo ya maana na lianze kujadili habari za kutunga,waoneeni huruma walipa kodi,hamukwenda bungeni kutengeneza majungu.Unatia aibu
Wewe ndio unatia aibu maana ni mambo mangapi yamejadiliwa hump ili hali pia yangefanya a idara nje ya bunge hukubwatuka kama hili LA bashite!