Bashe: Kwa mara ya kwanza, tunafungua maghala ya chakula pasipokuwa na njaa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda kupunguza mfumuko wa bei.

Pia amedai ni nadra Sana kufungua maghala ila tu Kama itatokea njaa.
 
Kitendo tu cha bei ya vyakula kupanda maradufu, tayari hicho ni kiashiria kimojawapo cha njaa, na pia mateso makubwa kwa wananchi.

Hivyo waache kutafuta ujiko. Walikuwa hawana namna nyingine ya kufanya.
 
We Msomali kwann bei ya mafuta ya alizet imeporomoka sana kuanzia mwaka jana tofauti na miaka ya nyuma?
Hali ikiendelea hv wakulima watakata tamaa sana kulima alizet kuanzia msimu wa mwaka huu.
Au ni Mama amezidiwa ujanja na genge la waarabu (hapa nna imani care of ni JK)wakaingiza mafuta ya korie kutoka nje ya nchi.
Sera ya kulinda viwanda vidogo vidogo vya ndani vya wazawa haipo tena au
 
Kuna watu hawana akili! Sijui kwa kuwa wao wanakula bure kwa hisani ya selikali,

Hivi Bashe hajui kama hapa ndipo tulipo?
20230105_112106.jpg
 
Wamefanya vizuri, gharama za nafaka zilikuwa zinapanda kila siku, na hapakuwepo na jitihada zozote za kukomesha hali hiyo.

Muhimu watazame namna nzuri itakayowezesha chakula hicho kuwafikia walaji kwa bei hitajika, usimamizi uwepo wa kutosha.

Pasije kutokea wajanja watakaonunua chakula kingi kisha wakakiuze wao kwa bei ya juu, hapo watakuwa hawajamsaidia mwananchi wa kawaida.
 
Kitendo tu cha bei ya vyakula kupanda maradufu, tayari hicho ni kiashiria kimojawapo cha njaa, na pia mateso makubwa kwa wananchi.

Hivyo waache kutafuta ujiko. Walikuwa hawana namna nyingine ya kufanya.
Tafsiri hii ya njaa ni tofauti na tafsiri inayotambulika rasmi.
Nahisi tafsiri rasmi ni mpaka watu wa Dodoma wale mabuyu/ viwavi jeshi, mafuriko makubwa yawapige wananchi n.k
 
Kuna watu hawana akili dunia hii jamani!

Lini tz tuliwahi kufika huku? View attachment 2469625
Kama kila mfanyabiashara anafanya atakavyo, sioni chakushangaza hapo, muhimu ungemuuliza huyo aliyepost hiyo picha akupatie majibu, lakini kuja kutuuliza sisi huku tusiohusika, naona ni ukosefu wa akili wa aina nyingine.
 
Kitendo tu cha bei ya vyakula kupanda maradufu, tayari hicho ni kiashiria kimojawapo cha njaa, na pia mateso makubwa kwa wananchi.

Hivyo waache kutafuta ujiko. Walikuwa hawana namna nyingine ya kufanya.
Ujiko kwa nani, siyo kazi ya serikali kukulisha, kajiwekee akiba mwenyewe. Hujasikia Ulaya hasa Wales watu wanakula chakula cha mbwa umesikia wakiilalamikia serikali yao? Mkipata serikali yenye uungwana km hii mnafikiri inawaogopa. Kiboko yenu Magu angekuwa hai ndio mgepata majibu Murua. Mbongo ukkmfanyia wema anakuona we hamnazo unamwogopa
 
Unanifokea?
 
Kama kila mfanyabiashara anafanya atakavyo, sioni chakushangaza hapo, muhimu ungemuuliza huyo aliyepost hiyo picha akupatie majibu, lakini kuja kutuuliza sisi huku tusiohusika, naona ni ukosefu wa akili wa aina nyingine.
Huo ndio uhalisia mkuu!

Nashangaa bashe anasema hakuna njaa
 
Tuna mawaziri wa hovyo sana hii nchi.
Bei ya mahindi ni takribani elfu 25 kwa debe. Familia kubwa ya wastani inatumia debe hili kwa siku 4 au 5(kwa kujibana).
Kwa hiyo ni gharama kubwa sana kuendesha familia kutokana na bei ya mahindi kuwa juu sana.
Anaibuka waziri mmoja asiye na akili timamu anaropoka hivi?.
Rais SAMIA punguza upole,kemea mawaziri kama hawa.
 
Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda kupunguza mfumuko wa bei.

Pia amedai ni nadra Sana kufungua maghala ila tu Kama itatokea njaa.
Unajua huyu jamaa anatuchukulia poa sana....hivi nani fala?...
Anyway ngoja tunyamaze.
 
Kitendo tu cha bei ya vyakula kupanda maradufu, tayari hicho ni kiashiria kimojawapo cha njaa, na pia mateso makubwa kwa wananchi.

Hivyo waache kutafuta ujiko. Walikuwa hawana namna nyingine ya kufanya.
Siyo kiashiria Cha njaa,njaa ni pale chakula hakipo,Mimi hapa natamani ugali nyama choma,wanauza 10k,Ila nimekula pilau nyama kachumbari nyingi kwa buku 3,ugali choma kuuzwa 10k siyo njaa
 
Tuna mawaziri wa hovyo sana hii nchi.
Bei ya mahindi ni takribani elfu 25 kwa debe. Familia kubwa ya wastani inatumia debe hili kwa siku 4 au 5(kwa kujibana).
Kwa hiyo ni gharama kubwa sana kuendesha familia kutokana na bei ya mahindi kuwa juu sana.
Anaibuka waziri mmoja asiye na akili timamu anaropoka hivi?.
Rais SAMIA punguza upole,kemea mawaziri kama hawa.
Kwa hiyo hutaki mkulima apige pesa!?..alikutuma nani uwe na familia inayokula debe la mahindi kwa siku nne!?
 
Back
Top Bottom