Bashe: Kwa mara ya kwanza, tunafungua maghala ya chakula pasipokuwa na njaa

Kuna watu hawana akili! Sijui kwa kuwa wao wanakula bure kwa hisani ya selikali,

Hivi Bashe hajui kama hapa ndipo tulipo? View attachment 2469625
Hivyo vinalimwa,havishuki toka mbinguni,Kuna binaadam wanaitwa wakulima,wananunua mbegu,mbolea,dawa na kulipa walimaji,wale hawapo hawalimi kukupa wewe nafuu ya maisha,Kama rahisi kalime upunguze makali ya maisha na uwauzie wengine Bei rahisi
 
Huo ndiyo ukweli... Walime halafu wauze Kwa Bei nafuu Kama wanaona ni rahisi
 
Hajui pesa ya kima cha chini yoote inaishia kwenye vyakula.
 
Back
Top Bottom