MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Tafsiri hii ya njaa ni tofauti na tafsiri inayotambulika rasmi.Kitendo tu cha bei ya vyakula kupanda maradufu, tayari hicho ni kiashiria kimojawapo cha njaa, na pia mateso makubwa kwa wananchi.
Hivyo waache kutafuta ujiko. Walikuwa hawana namna nyingine ya kufanya.
Kama unakula na kulala kwa shemeji yako huwezi kujua kama hivi sasa tupo huku.
Kama kila mfanyabiashara anafanya atakavyo, sioni chakushangaza hapo, muhimu ungemuuliza huyo aliyepost hiyo picha akupatie majibu, lakini kuja kutuuliza sisi huku tusiohusika, naona ni ukosefu wa akili wa aina nyingine.
Ujiko kwa nani, siyo kazi ya serikali kukulisha, kajiwekee akiba mwenyewe. Hujasikia Ulaya hasa Wales watu wanakula chakula cha mbwa umesikia wakiilalamikia serikali yao? Mkipata serikali yenye uungwana km hii mnafikiri inawaogopa. Kiboko yenu Magu angekuwa hai ndio mgepata majibu Murua. Mbongo ukkmfanyia wema anakuona we hamnazo unamwogopaKitendo tu cha bei ya vyakula kupanda maradufu, tayari hicho ni kiashiria kimojawapo cha njaa, na pia mateso makubwa kwa wananchi.
Hivyo waache kutafuta ujiko. Walikuwa hawana namna nyingine ya kufanya.
Kalime huoni mashamba? Unamlalamikia nani? Ulitaka umpangie mkulima bei ya mazao yake? We kuna anayekupangia bei ya bidhaa zako unazouza?
Unanifokea?Ujiko kwa nani, siyo kazi ya serikali kukulisha, kajiwekee akiba mwenyewe. Hujasikia Ulaya hasa Wales watu wanakula chakula cha mbwa umesikia wakiilalamikia serikali yao? Mkipata serikali yenye uungwana km hii mnafikiri inawaogopa. Kiboko yenu Magu angekuwa hai ndio mgepata majibu Murua. Mbongo ukkmfanyia wema anakuona we hamnazo unamwogopa
Huo ndio uhalisia mkuu!Kama kila mfanyabiashara anafanya atakavyo, sioni chakushangaza hapo, muhimu ungemuuliza huyo aliyepost hiyo picha akupatie majibu, lakini kuja kutuuliza sisi huku tusiohusika, naona ni ukosefu wa akili wa aina nyingine.
Duh !! Biashara nzuri kumbe. !!Kuna watu hawana akili! Sijui kwa kuwa wao wanakula bure kwa hisani ya selikali,
Hivi Bashe hajui kama hapa ndipo tulipo? View attachment 2469625
Unajua huyu jamaa anatuchukulia poa sana....hivi nani fala?...Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda kupunguza mfumuko wa bei.
Pia amedai ni nadra Sana kufungua maghala ila tu Kama itatokea njaa.
Siyo kiashiria Cha njaa,njaa ni pale chakula hakipo,Mimi hapa natamani ugali nyama choma,wanauza 10k,Ila nimekula pilau nyama kachumbari nyingi kwa buku 3,ugali choma kuuzwa 10k siyo njaaKitendo tu cha bei ya vyakula kupanda maradufu, tayari hicho ni kiashiria kimojawapo cha njaa, na pia mateso makubwa kwa wananchi.
Hivyo waache kutafuta ujiko. Walikuwa hawana namna nyingine ya kufanya.
Kwa hiyo hutaki mkulima apige pesa!?..alikutuma nani uwe na familia inayokula debe la mahindi kwa siku nne!?Tuna mawaziri wa hovyo sana hii nchi.
Bei ya mahindi ni takribani elfu 25 kwa debe. Familia kubwa ya wastani inatumia debe hili kwa siku 4 au 5(kwa kujibana).
Kwa hiyo ni gharama kubwa sana kuendesha familia kutokana na bei ya mahindi kuwa juu sana.
Anaibuka waziri mmoja asiye na akili timamu anaropoka hivi?.
Rais SAMIA punguza upole,kemea mawaziri kama hawa.