Bashe na rais Samia wanafahamu ubaya wa Mpina kuliko wananchi waliomchagua??

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,759
Reaction score
4,872
Tuseme kidogo juu ya Waziri Bashe, aliyesoma Ushirika, lakini anapenda aitwe ni mchumi.

Aliingia wizara ya Kilimo kwa nadharia mfu za BBT. Akapiga keleleee! Eti akukusanya vijana mijini ili wakalime Dodoma! Yaani wakalime Dodoma! Gharama kubwa za kutia mashaka zikatumika kujenga miradi ya BBT. Tunaoijua Kilimo tukauliza ASDP-2 iko wapi? Baadaye ikasikika vijana wananyanyaswa na hataki kuulizwa maswali. Ikaishia eti sasa imepelkwa JKT. Haisikiki tena.

Mwaka huu amekuja na sifa ya wizara ya Kilimo kuongezewa bajeti, bila kueleza mafanikio ya nyuma. Bajeti inaongezwa kwa malengo gani? Kuna miradi gani ya Taifa inayofanyika hadi bajeti imeongezwa? BBT iko wapi sasa?

Mwishoni anaendesha ugomvi na Mpina. Jukwaani anasaidiwa na rais Samia kumshambulia Mpina. Eti wanafahamu ubaya wa Mbunge Mpina kuliko waliomchangua! Huyu Bashe anastahlini kubaki baraza la mawaziri?
 
Bashe na Mpina Wana bifu siyo kazini limeingia hadi kwenye maisha ya kawaida.

Wakiwa bungeni Bashe sikio lake huwa kategesha kuona Mpina atasema nini.

Na Mpina kwakuwa anajua wananchi wake asilimia kubwa ni wakulima haswa zao la pamba huwa anahitaji kupatiwa majibu ama ufumbuzi kuhusu viuatilifu pamoja na masoko
 
Mwache ajikaange kama mfalme wa meza
 
Mbaya zaidi kuna wananchi hapo wanamuona mpina amezingua
 
Tuseme kidogo juu ya Waziri Bashe, aliyesoma Ushirika, lakini anapenda aitwe ni mchumi.

Aliingia wizara ya Kilimo kwa nadharia mfu za BBT. Akapiga keleleee! Eti akukusanya vijana mijini ili wakalime Dodoma! Yaani wakalime Dodoma! Gharama kubwa za kutia mashaka zikatumika kujenga miradi ya BBT. Tunaoijua Kilimo tukauliza ASDP-2 iko wapi? Baadaye ikasikika vijana wananyanyaswa na hataki kuulizwa maswali. Ikaishia eti sasa imepelkwa JKT. Haisikiki tena.

Mwaka huu amekuja na sifa ya wizara ya Kilimo kuongezewa bajeti, bila kueleza mafanikio ya nyuma. Bajeti inaongezwa kwa malengo gani? Kuna miradi gani ya Taifa inayofanyika hadi bajeti imeongezwa? BBT iko wapi sasa?

Mwishoni anaendesha ugomvi na Mpina. Jukwaani anasaidiwa na rais Samia kumshambulia Mpina. Eti wanafahamu ubaya wa Mbunge Mpina kuliko waliomchangua! Huyu Bashe anastahlini kubaki baraza la mawaziri?
Damu ni zito kuliko maji, usicheze na maslahi ya Abdul. Ile sukari aliyokua anaagiza Bashe kutoka Brazil ilikua inanunuliwa na pesa za serikali na mfaidika Abdul. Sasa Mpina kuhoji hapo ndiyo ametifuka.

Hata Gwajima, asingemtaja Abdul wala hangepata majanga ya sasa, wengine watekwe au wafe lakini usiongee kuhusu mwanangu Abdul.
 
Nasikia pesa za wizara ya kilimo zote zinaishia kujenga kiwanda cha Tumbaku Morogoro. Sasa wanajiita MKWAWA. Wizara inakufa njaa kwa mipango hewa, wao wanajenga kiwanda binafsi.

TZ tumekwisha!
 
Back
Top Bottom