ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hili ni suala la kisheria ,na hayo mengine Je?Na kila anae sema vibaya kuhusu serikali kutekwa , ukiwa mwanasiasa wa Tz inabidi uwe na tabia za kike
Kusifia kuliko pitiliza ndio kukoje? Weka mfano?Kusifia kuliko pitiliza ni uchawa.
Kukosoa kuliko pitiliza ni chuki Binafsi.
Kusifia bila kukosoa ni uchawa.
Kukosoa bila kusifia ni chuki binafsi.
Yote kwa yote hakuna anayevunja sheria. Wote wanatoa maoni yao. Walindwe
Kwani nani amesema atuwa milele? Kipindi hiki hiki alichopo ndipo anaweka tofauti kubwa.Swala la muda hatakuwa milele awamu itaisha na kuna wenye awamu wataingia
"ndio Rais pekee"Nakubaliana kabisa na Waziri Bashe.
Kuna makenge ambayo yamekuja na msemo kwamba ukielezea mambo Mazuri ambayo wao (makenge) hawapendi kusikia na in most cases ni mafanikia ya Serikali ya Rais Samia unaitwa Chawa.
View: https://youtu.be/B26JzIGiuQ8?feature=shared
My Take
Ni Bora Kuitwa Chawa kuliko kuwa mpambanaji au Shujaa wa upumbavu na mambo yasiyo na msingi.
Samia ataendelea kuwa ndio Rais pekee aliyeweka rekodi za maendeleo Kila sekta na Kwa ufanisi mkubwa kuanzia Kilimo Hadi Michezo na huu ndio uhalisia.
Sio kweli anaitwa mpambanaji according to Chadomo 😁😁Anayepiga na kukosoa uhuni anaitwa mchochezi
The same!!
kazi kwelikweliAnayepiga na kukosoa uhuni anaitwa mchochezi
The same!!
Kwani ni uongo? Mtaje mwingine aliyeweka hiyo difference."ndio Rais pekee"
shida iko kwenye maneno kama haya
Amesema Yuko tayari kusema ukweli na Kuitwa Chawa.Kwahyo wazir ana maoni ganI sasw juu ya hilo?
Au anataka awaagize polisi wawakamate?
Mwambie asiwe too sensitive na vitu visivyo na madhara kwa taifa.
Kwa maelezo zaid awaulize mawaziri wenzake(prof. Ndalichako) ambaohuwatambulisha watu kama chawa wa mama.
According to chura kiziwi ni magwajimaSio kweli anaitwa mpambanaji according to Chadomo 😁😁
Kusifia kuliko pitiliza ndio kukoje? Weka mfano?
Hapa ni chuki binafsi zinasumbua Kutokana n asili ya binadamu kwamba asiyempenda akifaulu.
CHAWA wwNakubaliana kabisa na Waziri Bashe.
Kuna makenge ambayo yamekuja na msemo kwamba ukielezea mambo Mazuri ambayo wao (makenge) hawapendi kusikia na in most cases ni mafanikia ya Serikali ya Rais Samia unaitwa Chawa.
View: https://youtu.be/B26JzIGiuQ8?feature=shared
My Take
Ni Bora Kuitwa Chawa kuliko kuwa mpambanaji au Shujaa wa upumbavu na mambo yasiyo na msingi.
Samia ataendelea kuwa ndio Rais pekee aliyeweka rekodi za maendeleo Kila sekta na Kwa ufanisi mkubwa kuanzia Kilimo Hadi Michezo na huu ndio uhalisia.
Kama anasifia bila takwimu labda ila kama anaweka takwimu hakuna shida.Lucas Mwashambwa
Mwijaku
chiembe
Hao ni case study za Wanaosifia kuliko pitiliza.
Chuki binafsi ni Tabia ya kukubali wengine wabarikiwe, wafanikiwe hasa wakikuzidi ndio huwa maradufu.
Chuki binafsi usiombe akawa nayo mtawala au tajiri. Utaita maji mma