Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
Ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu wa wanaharakati wanaozuka hasa mitandaoni dhidi ya wasema ukweli na wazalendo wa nchi
Nakubaliana kabisa na Waziri Bashe.
Kuna makenge ambayo yamekuja na msemo kwamba ukielezea mambo Mazuri ambayo wao (makenge) hawapendi kusikia na in most cases ni mafanikia ya Serikali ya Rais Samia unaitwa Chawa.
View: https://youtu.be/B26JzIGiuQ8?feature=shared
My Take
Ni Bora Kuitwa Chawa kuliko kuwa mpambanaji au Shujaa wa upumbavu na mambo yasiyo na msingi.
Samia ataendelea kuwa ndio Rais pekee aliyeweka rekodi za maendeleo Kila sekta na Kwa ufanisi mkubwa kuanzia Kilimo Hadi Michezo na huu ndio uhalisia.https://www.instagram.com/p/DLc0iyHKnHZ/?igsh=MWYwc2ZiMjlmM2E4ag==
View attachment 3387357View attachment 3387358

ChadomoKwani nani kwanzilishi wa neno chawa
Tukiwapima kwa negative ways ni kosa?? Mfano tukipima ufisadi, rushwa, bei za vitu, thamani ya shilingi, utekaji, n.k ni yupi yuko juu kuliko maraisi wote ukifuata hayo mambo?Kama anasifia bila takwimu labda ila kama anaweka takwimu hakuna shida.
Tunapima viongozi Kwa takwimu sio hisia binafsi.