ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #21
Sio tuu chawa sema chawa wa maendeleo aliyoleta Samia.CHAWA ww
View: https://www.instagram.com/p/DLclThRtxVK/?igsh=MXFmaHpzMjBjc3NnOA==
Sio tuu chawa sema chawa wa maendeleo aliyoleta Samia.CHAWA ww
Mimi huwa naongea ukweli na siyo kusifia.Lucas Mwashambwa
Mwijaku
chiembe
Hao ni case study za Wanaosifia kuliko pitiliza.
Chuki binafsi ni Tabia ya kutokubali wengine wabarikiwe, wafanikiwe hasa wakikuzidi ndio huwa maradufu.
Chuki binafsi usiombe akawa nayo mtawala au tajiri. Utaita maji mma
Kama anasifia bila takwimu labda ila kama anaweka takwimu hakuna shida.
Tunapima viongozi Kwa takwimu sio hisia binafsi.
Nakubaliana kabisa na Waziri Bashe.
Kuna makenge ambayo yamekuja na msemo kwamba ukielezea mambo Mazuri ambayo wao (makenge) hawapendi kusikia na in most cases ni mafanikia ya Serikali ya Rais Samia unaitwa Chawa.
View: https://youtu.be/B26JzIGiuQ8?feature=shared
My Take
Ni Bora Kuitwa Chawa kuliko kuwa mpambanaji au Shujaa wa upumbavu na mambo yasiyo na msingi.
Samia ataendelea kuwa ndio Rais pekee aliyeweka rekodi za maendeleo Kila sekta na Kwa ufanisi mkubwa kuanzia Kilimo Hadi Michezo na huu ndio uhalisia.
View: https://www.instagram.com/p/DLclThRtxVK/?igsh=MXFmaHpzMjBjc3NnOA==View attachment 3387357View attachment 3387358
Kwa nini niumie?Kama sio Chawa unaumia vipi sasa?
Mimi huwa naongea ukweli na siyo kusifia.
Mabaya yapi unayotaka unilazimishe kuyataja. Wewe ndiye ungekuwa unayataja kama unayafahamuUkweli ni nini?
Unaposema mazuri ya mtu mara kwa mara bila kutaja mabaya yake huwezi kuwa sehemu ya Ukweli.
Mabaya yapi unayotaka unilazimishe kuyataja. Wewe ndiye ungekuwa unayataja kama unayafahamu
Ukweli ni nini?
Unaposema mazuri ya mtu mara kwa mara bila kutaja mabaya yake huwezi kuwa sehemu ya Ukweli.
Mabaya yapi unayotaka unilazimishe kuyataja. Wewe ndiye ungekuwa unayataja kama unayafahamu
Inakuaje kusifia iwe haki halafu kukosoa iwe kosa? Wewe kama umeona imekufaa mwengine anaona bado hakuna kitu unapoanza kumtweza na wewe hapo ndio unapoonekana chawa uzuri wa Ukweli unajisimamiaga wenyewe hautaki PR sasa ukiona umefanya kitu tena unachopaswa kukifanya halafu unatumia muda mwingi kukielezea ujue kuna shida ya Uchawa too much is harmfull hatuwezi wote kusifia kama wehu hatuwezi wote kuwa namtazamo sawa kama wendawazimuKwa nini niumie?
Kukosoa sio kosa ila inashgaza kuwaita chawa wanaosifia ,hii kwenye akili Yako imekaaje?Inakuaje kusifia iwe haki halafu kukosoa iwe kosa? Wewe kama umeona imekufaa mwengine anaona bado hakuna kitu unapoanza kumtweza na wewe hapo ndio unapoonekana chawa uzuri wa Ukweli unajisimamiaga wenyewe hautaki PR sasa ukiona umefanya kitu tena unachopaswa kukifanya halafu unatumia muda mwingi kukielezea ujue kuna shida ya Uchawa too much is harmfull hatuwezi wote kusifia kama wehu hatuwezi wote kuwa namtazamo sawa kama wendawazimu
No reform No Election
Nakubaliana kabisa na Waziri Bashe.
Kuna makenge ambayo yamekuja na msemo kwamba ukielezea mambo Mazuri ambayo wao (makenge) hawapendi kusikia na in most cases ni mafanikia ya Serikali ya Rais Samia unaitwa Chawa.
View: https://youtu.be/B26JzIGiuQ8?feature=shared
My Take
Ni Bora Kuitwa Chawa kuliko kuwa mpambanaji au Shujaa wa upumbavu na mambo yasiyo na msingi.
Samia ataendelea kuwa ndio Rais pekee aliyeweka rekodi za maendeleo Kila sekta na Kwa ufanisi mkubwa kuanzia Kilimo Hadi Michezo na huu ndio uhalisia.
View: https://www.instagram.com/p/DLclThRtxVK/?igsh=MXFmaHpzMjBjc3NnOA==View attachment 3387357View attachment 3387358
Kwani watu kupotea ndio kunazuia kwamba hajafanya hayo anayosifiwa nayo?Kum@ sana huyu na hilo li ajuza lake analolisifia ,watu kibao wamepotea ,akina mdude nk mpaka leo watu wanauawa na kuteswa kama wanyama ,kisa kupinga uovu wa serikali . Mazafaka
Mkuu we tiririka mistari ya kusifia upendavyo lakin pia nchi ni kubwa na watu ni wengi pia hivyo wengine wata eleza mabaya yake. Kikubwa wasivunje sheria mkuu.Mabaya yapi unayotaka unilazimishe kuyataja. Wewe ndiye ungekuwa unayataja kama unayafahamu