Nakubaliana kabisa na Waziri Bashe.
Kuna makenge ambayo yamekuja na msemo kwamba ukielezea mambo Mazuri ambayo wao (makenge) hawapendi kusikia na in most cases ni mafanikia ya Serikali ya Rais Samia unaitwa Chawa.
View: https://youtu.be/B26JzIGiuQ8?feature=shared
My Take
Ni Bora Kuitwa Chawa kuliko kuwa mpambanaji au Shujaa wa upumbavu na mambo yasiyo na msingi.
Samia ataendelea kuwa ndio Rais pekee aliyeweka rekodi za maendeleo Kila sekta na Kwa ufanisi mkubwa kuanzia Kilimo Hadi Michezo na huu ndio uhalisia.
View: https://www.instagram.com/p/DLclThRtxVK/?igsh=MXFmaHpzMjBjc3NnOA==View attachment 3387357View attachment 3387358

Samia ataendelea kuwa ndio Rais pekee aliyeweka rekodi za maendeleo Kila sekta na Kwa ufanisi mkubwa kuanzia Kilimo Hadi Michezo na huu ndio uhalisia.https://www.instagram.com/p/DLc0iyHKnHZ/?igsh=MWYwc2ZiMjlmM2E4ag==
View attachment 3387357View attachment 3387358
Jina la Uchawa linawafaa kwa sababu kuna mambo mengine sio ya kusifia lakini mnasifia tu. Mfano Swala la kanisa la Gwajima kufungiwa, sio swala la kusifia hilo, Chawa tu ndo anaweza kuona ni sawa waumini kunyimwa haki yao ya kuabudu.Kukosoa sio kosa ila inashgaza kuwaita chawa wanaosifia ,hii kwenye akili Yako imekaaje?
Nakubaliana kabisa na Waziri Bashe.
Kuna makenge ambayo yamekuja na msemo kwamba ukielezea mambo Mazuri ambayo wao (makenge) hawapendi kusikia na in most cases ni mafanikia ya Serikali ya Rais Samia unaitwa Chawa.
View: https://youtu.be/B26JzIGiuQ8?feature=shared
My Take
Ni Bora Kuitwa Chawa kuliko kuwa mpambanaji au Shujaa wa upumbavu na mambo yasiyo na msingi.
Samia ataendelea kuwa ndio Rais pekee aliyeweka rekodi za maendeleo Kila sekta na Kwa ufanisi mkubwa kuanzia Kilimo Hadi Michezo na huu ndio uhalisia.https://www.instagram.com/p/DLc0iyHKnHZ/?igsh=MWYwc2ZiMjlmM2E4ag==
View attachment 3387357View attachment 3387358
Wakati kiuhalisia ndiye Rais pekee form 4 failure!!."ndio Rais pekee"
shida iko kwenye maneno kama haya

Kama mambo gani hayo yasiyofaa kusifiwa ?Jina la Uchawa linawafaa kwa sababu kuna mambo mengine sio ya kusifia lakini mnasifia tu. Mfano Swala la kanisa la Gwajima kufungiwa, sio swala la kusifia hilo, Chawa tu ndo anaweza kuona ni sawa waumini kunyimwa haki yao ya kuabudu.
Kusema pesa za mama ndio Uchawa? 😁😁😁😁😁😁Mwambie aache uchawa kwa maana wangesema pesa tulizokopa au kodi za wananchi na sio pesa za mama. Unaitwa chawa kulingana na namna unavyo elezea mali za uma kama.mali ya huyo mzanzibar ilhali n mali za watanzania ambazo ni mikopo na kodi zao. Nyie ni machawa
Ulizani ni nini..?Kusema pesa za mama ndio Uchawa? 😁😁😁😁😁😁
Ni sifa Kwa Kiongozi na ndio haya ameyasema Bashe.Ulizani ni nini..?
Pesa za wananchi unaziitaje za mtu mmoja. ? Tukiwaambia nyie n kima mueleweNi sifa Kwa Kiongozi na ndio haya ameyasema Bashe.
Netanyahu anasifiwa huko kumtandika Iran umewahi muona amerusha ndege vita kwenda kushambulia?Pesa za wananchi unaziitaje za mtu mmoja. ? Tukiwaambia nyie n kima muelewe
Tupo Tanzania tuongelee ya Tanzania. Neta ni kichwa huwezi fananisha na haya mabox yetu.Netanyahu anasifiwa huko kumtandika Iran umewahi muona amerusha ndege vita kwenda kushambulia?
Tanzania ni kisiwa au Iko sayari tofauti na Dunia?Tupo Tanzania tuongelee ya Tanzania. Neta ni kichwa huwezi fananisha na haya mabox yetu.
Unaongelea mambo ya Tanzania kwenye viongozi wajinga alafu una mtolea mfano Neta a u stupid..? Haya mabumunda hayana hadhi ya kufananishwa na watu wenye akili na maono kama Neta hata sijui unabishia nnTanzania ni kisiwa au Iko sayari tofauti na Dunia?