Bashe ndiyo namna ya kuwa waziri nyakati hizi

Bashe ndiyo namna ya kuwa waziri nyakati hizi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Mawaziri wengine Bashe ndiye amewapa viwango vya juu ya jinsi ya kuwa waziri kwa miaka hii. Msishangae Ikulu inamtumia Bashe sana kuongea na waandishi wa habari.

Mawaziri wengine jifunzeni kutoka kwa Bashe. Niseme tu wa pili ni waziri wa Afya na Mwigulu lakini kwa ndugu yangu Mwigulu hana ubunifu bado wa kutosha.

1. Kuwa na data
2. Kuwa na ubunifu
3. Kuweza kutoa habari
4. Kuweka brand yako ya wizara
 
Back
Top Bottom