Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 331
- 416
Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru.
Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae uliowasemelea kwa Rais kwamba wamevamia eneo la Taasisi Kilimo Uyole. Sijui kama umefanya research ya kutosha juu ya huu mgogoro ambao una miaka zaidi ya 50.
Lukuvi anaujua vizuri ndiyo maana aliongea hadharani kuwarejeshea wananchi maeneo Yao akisema kwamba ametumwa na Rais wa wakati huo. Mgogoro huu ulishaisha lakini Kwa makusudi umeufufua.
Na kama siyo busara ya Rais Samia pale nane nane uliwachomea vibaya wananchi ambao hawana kosa lolote.
Mheshimiwa Bashe hao vijana wanajeshi wanaojenga ukuta eneo hilo Kwa hekima ungewasimamisha kwanza kama alivyoagiza mheshimiwa Rais kwamba mazungumzo yaendelee kutatua mgogoro huu.