Bashe ni Waziri mzuri na mchapakazi

Ni kweli Bashe yupo vizuri tatizo mfumo na vipaumbele vyetu.
Tunapambana kuomba samaki Badala maarifa na vitendea kazi tuvue wenyewe.Tunaishi ndani 18 za so called mabeberu kwa utegemezi.
uzuri wake nini so far au unasukumwa na unavyomhua toka mkiwa shule pamoja
 
Wakulima wa Tanzania ni kama kuku huria hawana na wala hawapati msaada kutoka kwa yeyote.
 
Mnapima watu kwa kupiga domo. Waziri wa Kilimo apimwe kwa kukuza sekta ya kilimo. Pembejeo bei juu, kilimo cha kutegemea mvua,wakulima wanalimia jembe la mkono, vyama vya msingi vinachelewesha malipo ya wakulima,bei za mazao sio stable, scheme zipo chache,hizo chache zimechoka

Halafu ndezi mmoja ananiambia Bashe ni waziri mzuri. Acha udalali kijana,kafanye kazi
 
Nakubaliana kabisa na wewe Bashe hicho kiti kimemtosha. Mapungufu Kama kawaida hayakosekani lakini ameonyesha kuwa anaweza kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kama akipata support . Mh Bashe kwa ukali ulioo nyesha kwa wale matapeli wanaochukua tumbaku ya wakulima bila kulipa onyesha pia kwa hawa wengine Kama kina JATU ambao Wana dalili zote za kuja kutapeli hela za watanzania kwa kisingizio Cha uwekezaji , kazi iendelee
 
naungana na wewe Bashe is Good
 
Mwambie mbolea imefika 120,000

Huo uzuri wake wala hauhitajiki. Arudishe mbolea bei ya mwaka jana 50000
Huu ujinga mwingine. Sio lazima ku comment for the sake ya ku comment.
Bashe ndio anapanga bei ya mbolea?
Soma kidogo somo la biashara utajua supply na demand na inflation.
 
hakuna kitu, anyway endeleeni kuwa na imani mtashtuka kumekucha
 
Kama ni mchapa kazi kwanini asiende kwao Somalia akawasaidie?
 
Amewatuma?
 
Bashe naomba uchukue ushauri huu
1. Hakikisha bei ya pembejeo hasa mbolea inashuka
2. Tuna mabonde makubwa sana ya umwagiliaji, yajengwe au yaboreshwe. Kilimo cha kulima huku kila saa unaangalia mawingu kama mvua itakuja imepitwa na wakati. Nashangaa mnanunua mandege mnakuja kuyapaki hayafanyi kazi wakati hizo hela mngejenga miundombinu
3. Masoko ya mazao.. fatilia lile soko la India la Manji la mazao ya jamii ya kunde. Litanyenyua watu wengi sana
 
Hata Roma haikujengwa kwa siku moja !! Jiulize ana muda gani tangu awe waziri !!
 
Reactions: Tui
Kama ni mchapa kazi kwanini asiende kwao Somalia akawasaidie?
Tukianza kuchunguzana kwa asili utakuta hata wewe asili yako sio Tanganyika.
Unabisha jaribu kwenye ancenstry.com.
You are smarter than that.
Ku comment hivyo inapunguza hadhi yako
 
Tukianza kuchunguzana kwa asili utakuta hata wewe asili yako sio Tanganyika.
Unabisha jaribu kwenye ancenstry.com.
You are smarter than that.
Ku comment hivyo inapunguza hadhi yako
Ni kabila gani huyo msomali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…