Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani wangekuwa wanaangalia asili ya mtu badala ya kuangalia kichwani kuna madini ya thamani kiasi gani, leo hii wangekuwa maskini kama mataifa ya dunia ya tatu.Mtu amezaliwa Tanzania anakuwa msomali Tena? 😂😂, ametokea tabora hapo
Au kuna kitu wengine hatujui ? Sisi tunataka watu serious, tumeshachoka na viongozi vilaza.
Wajawazito wengi hupanda ndege kwenda kuzalia USA ili mtoto awe raia, kama hiyo falsafa yako ya kibaguzi ingekuwa inafanya kazi wasingejisumbua.Wewe ukiwa mzaramo mtoto wako akizaliwa Moshi anakuwa mchaga?
Nyie wasomali mnaogopa nini kwenda kwenu? mbona hakuna mtanzania kule Somalia hata Mwenyekiti wa mtaa?Wajawazito wengi hupanda ndege kwenda kuzalia USA ili mtoto awe raia, kama hiyo falsafa yako ya kibaguzi ingekuwa inafanya kazi wasingejisumbua.
Hizi ni roho za kibaguzi mkuu. Ukibaguliwa na wewe sijui utajisikiaje.Nyie wasomali mnaogopa nini kwenda kwenu? mbona hakuna mtanzania kule Somalia hata Mwenyekiti wa mtaa?
Ndiyo ukweli mkuuHizi ni roho za kibaguzi mkuu. Ukibaguliwa na wewe sijui utajisikiaje.
Kweli kabisa. Ni mapema mno kwa Bashe na matokeo hayapimwi kwa matamko.Mnapima watu kwa kupiga domo. Waziri wa Kilimo apimwe kwa kukuza sekta ya kilimo. Pembejeo bei juu, kilimo cha kutegemea mvua,wakulima wanalimia jembe la mkono, vyama vya msingi vinachelewesha malipo ya wakulima,bei za mazao sio stable, scheme zipo chache,hizo chache zimechoka
Halafu ndezi mmoja ananiambia Bashe ni waziri mzuri. Acha udalali kijana,kafanye kazi
iko wapi mikakati?unaweza kuleta nyaraka hapa?Hata Roma haikujengwa kwa siku moja !! Jiulize ana muda gani tangu awe waziri !!