Bashe ni Waziri mzuri na mchapakazi

Bashe ni Waziri mzuri na mchapakazi

Bashe sio Bashite
troll.png
 
Mtu amezaliwa Tanzania anakuwa msomali Tena? 😂😂, ametokea tabora hapo


Au kuna kitu wengine hatujui ? Sisi tunataka watu serious, tumeshachoka na viongozi vilaza.
Marekani wangekuwa wanaangalia asili ya mtu badala ya kuangalia kichwani kuna madini ya thamani kiasi gani, leo hii wangekuwa maskini kama mataifa ya dunia ya tatu.
 
anaweza kuwa mzuri, we need time to assess him before we conclude, so far he is doing fine. sio tunamuona mzuri leo halafu kesho tunakuja kuambiwa ndiye yupo nyuma ya mgogoro wa wamasai na serkali kumbe anataka kuweka huko waarabu na wasomali
 
Mnapima watu kwa kupiga domo. Waziri wa Kilimo apimwe kwa kukuza sekta ya kilimo. Pembejeo bei juu, kilimo cha kutegemea mvua,wakulima wanalimia jembe la mkono, vyama vya msingi vinachelewesha malipo ya wakulima,bei za mazao sio stable, scheme zipo chache,hizo chache zimechoka

Halafu ndezi mmoja ananiambia Bashe ni waziri mzuri. Acha udalali kijana,kafanye kazi
Kweli kabisa. Ni mapema mno kwa Bashe na matokeo hayapimwi kwa matamko.
 
Back
Top Bottom