Bashe ni Waziri mzuri na mchapakazi

Mwambie mbolea imefika 120,000

Huo uzuri wake wala hauhitajiki. Arudishe mbolea bei ya mwaka jana 50000
Nashangaa Bashe naye ana chawa wake,
MBOLEA haishikiki, uzalishaji sijui utakuwaje mwaka huu,
Mwaka jana nilibakisha MBOLEA kidogo ndiyo imesaidia kupunguza machungu ya mwaka huu!
 
Waziri Bashe anafanikiwa kwa kuwa ametokea nje ya mfumo yaani alikuwa 'private sector' na mawazo yake si ya kirasimu.. tofauti na Mawaziri wengine kama Fedha n.k.
Ni mtu anayesikiliza na kuchukua ushauri.. Anaenda kwa spidi nzuri..
Wengine tulishaona umahiri wake hivyo kumshauri mapema..
 
Huu ujinga mwingine. Sio lazima ku comment for the sake ya ku comment.
Bashe ndio anapanga bei ya mbolea?
Soma kidogo somo la biashara utajua supply na demand na inflation.
Mkuu Tui hivi ni nani anaratibu, kupanga na kutekeleza masuala ya sekta ya kilimo ikiwa ni pamoja na bei za pembejeo za kilimo kama sio Wizara ya Kilimo?
 
Bashe ni mzalendo zaidi ya anavyojulikana......

#Siempre JMTπŸ™
 
I have no complaints, ni kati ya mawaziri wanaojua hili ni taifa masikini linahitaji seriousness, sio upuuzi upuuzi πŸ’―
 
Mtu amezaliwa Tanzania anakuwa msomali Tena? πŸ˜‚πŸ˜‚, ametokea tabora hapo


Au kuna kitu wengine hatujui ? Sisi tunataka watu serious, tumeshachoka na viongozi vilaza.
Wewe ukiwa mzaramo mtoto wako akizaliwa Moshi anakuwa mchaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…