ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #261
Hakuna mradi wa BBT uliokufa , unachitaka wewe ni habari za BBT Kila siku hazipo zitatoka pale itakapohitajika.ππUle mradi wa kambi ya vijana umejifia dodoma
Mkuu ngoja nikusaidie hujui kama mimi najua vijana wengi wametimuliwa wanalia mtaani mfano mradi wa kuweka nyuki kwenye mashamba ya alizeti ulifeli nina uhakika 100%Hakuna mradi wa BBT uliokufa , unachitaka wewe ni habari za BBT Kila siku hazipo zitatoka pale itakapohitajika.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DA6YOBrIRVT/?igsh=ODlsZ2thZWprbXVn
Kwani BBT ulikuwa ni mradi wa kugawa hela Kwa Vijana? Hao masharobaro wa mjini lazima watimuliwe wasalie wachache wenye passion ya kilimo tuu.Mkuu ngoja nikusaidie hujui kama mimi najua vijana wengi wametimuliwa wanalia mtaani mfano mradi wa kuweka nyuki kwenye mashamba ya alizeti ulifeli nina uhakika 100%
Alaf unasema wamepata m100 hao ni wangapi ukite vijana 100 ndio wamepata m100?!!
π π€£ π π sio usharobaro vijana walitapeliwa kwa sounds za kisiasa sasa kilichomkuta kamala kitamkuta bimkoraKwani BBT ulikuwa ni mradi wa kugawa hela Kwa Vijana? Hao masharobaro wa mjini lazima watimuliwe wasalie wachache wenye passion ya kilimo tuu.
Walijipelela pale wakijua Serikali inagawa pesa ππ
Vijana wanaolima wako site,masharobaro wote wametimuliwa πππ π€£ π π sio usharobaro vijana walitapeliwa kwa sounds za kisiasa sasa kilichomkuta kamala kitamkuta bimkora
White elephant π projectVijana wanaolima wako site,masharobaro wote wametimuliwa ππ
Kazi inaendelea ππ
View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1854833744911196636?t=0zEwWXfVbzlLLrKVAKNZlw&s=19
Si ulisema hakuna habari,saizi umeanza kuhamisha magoli ππππWhite elephant π project
Propaganda hizi kaka acha uchawa be seriousSi ulisema hakuna habari,saizi umeanza kuhamisha magoli ππππ
View: https://youtu.be/MDTGx5ek5_k?si=rW3ExJmOFxBC-a-i
Acha kuwa mjinga basiPropaganda hizi kaka acha uchawa be serious