Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Kukodi ekari moja kwaajili ya kulima mpunga ni 520000/- kwa msimu ujao wa kilimo. Kilimo kinalipa. Tusibweteke tufanye kilimo cha mpunga bondeni Ubaruku
 
Unapobisha takwimu rasmi na kuziuta propaganda unaweza weka za kwako kukanusha za Serikali?
Takwimu zakupikwa?! Enzi za mwendazake nakumbuka TTCL walipeleka gawio kwa serikali wakati shirika limepata hasara? Sasa waligawana hasara au faida?
 
Takwimu zakupikwa?! Enzi za mwendazake nakumbuka TTCL walipeleka gawio kwa serikali wakati shirika limepata hasara? Sasa waligawana hasara au faida?
Za kwako ulizochemsha ziko wapi? Si uzilete mbona mapovu tuu?
 
Nchimbi nae kasema raisi hataki utani.
Kila waziri raisi hataki utani.
Tunajifunza nini hapa??
 
Tatizo letu ni lile lile sehemu ambayo ungepata milioni mtu anakuja anakupa elfu kumi unaruka ruka na kushangalia na kusifu bila kujua kua umepoteza zaidi ya laki tisa, Ndio maana afrika tuna rasilimali nyingi lakini bado maskini kwa akili hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…