ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #441
BBT is a Biigest Scam in Tanzania History .. kuna matrekta ya BBT yanasomba kuni za kupikia komoni huku mtaani wakati Bashe ameshavuta 80% ya pesa ya mradi hiyo pesa inakwenda kutanua ushawishi wa Mastermind Rostam katika taifa hili ..Kwahiyo unafikiri kwanini wameweka hiyo taarifa public?
Unafikiri huo ni mradi wa Bashe na mkewe?
Samia irrigation scheme, samia power tiller ,
BBT is a Biigest Scam in Tanzania History .. kuna matrekta ya BBT yanasomba kuni za kupikia komoni huku mtaani wakati Bashe ameshavuta 80% ya pesa ya mradi hiyo pesa inakwenda kutanua ushawishi wa Mastermind Rostam katika taifa hili ..