Acheni kujaza watu ujinga,hakuna taifa ambalo kila mtu ni Mkulima.Na uyo Waziri wenu Kilaza anawadanganya eti Kilimo Biashara,anajua ata anachozungumza? Agribusiness inaendeshwa kwa jembe la mkono!!Wacha uvivu ingia shambani ukalime upunguze huo mfumuko wa bei za vyakula. Hakuna vya bure sasa.
Hivi na wewe ukiambiwa agribusiness unawaza kulima kwa jembe la mkono tu? kwa hapa naona kilaza ni wewe kwani kilimo ni zaidi ya jembe la mkono, rudi tena shule ukajifunze.Acheni kujaza watu ujinga,hakuna taifa ambalo kila mtu ni Mkulima.Na uyo Waziri wenu Kilaza anawadanganya eti Kilimo Biashara,anajua ata anachozungumza? Agribusiness inaendeshwa kwa jembe la mkono!!
Uganda hii yenye njaa?Nafaka gani sasa hivi zinatoka Kakonko kwenda Rwanda na Uganda? Maana mahindi ya Uganda ni bei rahisi kuliko ya Tanzania, na mihogo msimu wake bado
Mimi nipo Bukoba, Magari ya mahindi yanatoka Uganda kuja Tanzania sababu mahindi kule ni bei rahisi
Kama kulima siyo lazima, basi funga DOMO lako kuhusu Bei za vyakula!!Kwani kulima ni lazima? Division of labour ipo naturally ndio maana kuna wavuvi, wachimba madini, walimu n.k. Tumia akili kufikiri acha kutumia nyeo
Uganda nani kakuambia kuna njaa?Uganda hii yenye njaa?
Kuna kitu sielewi.Nafaka gani sasa hivi zinatoka Kakonko kwenda Rwanda na Uganda? Maana mahindi ya Uganda ni bei rahisi kuliko ya Tanzania, na mihogo msimu wake bado
Mimi nipo Bukoba, Magari ya mahindi yanatoka Uganda kuja Tanzania sababu mahindi kule ni bei rahisi
Mahindi tani 200,000 sio kwamba ndio zilizopo sasa hivi, hiyo ni maximum capacity ya maghala yetu, ambazo ziliishaanza kugawanywa tangu mwaka jana kwa wilaya zilizokuwa na hali mbaya kichakulaKuna kitu sielewi.
Kama kuna Tani 200.000 au hata 100.000-Zinakaa kusubiri nini huko NFRA?
Tani 200.000 inaweza kutumika mpk mwezi wa Nne na wakati huo Mahindi mapya tayari!
Supply ikiwa juu kidogo tu bei zinashuka automatically-Makelele yanakwisha!
Leo Uganda inaingiza Mahindi mpk Arusha wakati una Tani 200.000 Kwenye Maghala tafsiri yake nini?
Narudia kama wewe SI mkulima na hutaki kulima usifungue DOMO lako kulalamika kuhusu Bei za vyakulaWe pimbi huna akili. Bei za bidhaa zinahusiana vipi na kilo?
Kama sio lazima basi utakuwa na uwezo wa kununua kwa Bei ya ushindaniKwani kulima ni lazima? Division of labour ipo naturally ndio maana kuna wavuvi, wachimba madini, walimu n.k. Tumia akili kufikiri acha kutumia nyeo
Sawa basi nunu matrekta uingie shambaniAcheni kujaza watu ujinga,hakuna taifa ambalo kila mtu ni Mkulima.Na uyo Waziri wenu Kilaza anawadanganya eti Kilimo Biashara,anajua ata anachozungumza? Agribusiness inaendeshwa kwa jembe la mkono!!