Bashe umefeli juu ya suala la chakula

Bashe umefeli juu ya suala la chakula

Wacha uvivu ingia shambani ukalime upunguze huo mfumuko wa bei za vyakula. Hakuna vya bure sasa.
Acheni kujaza watu ujinga,hakuna taifa ambalo kila mtu ni Mkulima.Na uyo Waziri wenu Kilaza anawadanganya eti Kilimo Biashara,anajua ata anachozungumza? Agribusiness inaendeshwa kwa jembe la mkono!!
 
Acheni kujaza watu ujinga,hakuna taifa ambalo kila mtu ni Mkulima.Na uyo Waziri wenu Kilaza anawadanganya eti Kilimo Biashara,anajua ata anachozungumza? Agribusiness inaendeshwa kwa jembe la mkono!!
Hivi na wewe ukiambiwa agribusiness unawaza kulima kwa jembe la mkono tu? kwa hapa naona kilaza ni wewe kwani kilimo ni zaidi ya jembe la mkono, rudi tena shule ukajifunze.
 
Wavivu mnapambana kumshambulia Bashe. Safari hii mtakula uvivu wenu.
 
Nafaka gani sasa hivi zinatoka Kakonko kwenda Rwanda na Uganda? Maana mahindi ya Uganda ni bei rahisi kuliko ya Tanzania, na mihogo msimu wake bado

Mimi nipo Bukoba, Magari ya mahindi yanatoka Uganda kuja Tanzania sababu mahindi kule ni bei rahisi
Uganda hii yenye njaa?
 
Bashe hana kosa...

Mvua zilikuwa za hovyo mwaka uliopita..

Na kufunga mipaka ni upuuzi..

Km tunaamua kumlaumu bashe basi iwe ni ishu ya mbolea za ruzuku jinsi ilivyojaa ujinga ujinga
 
Kwani kulima ni lazima? Division of labour ipo naturally ndio maana kuna wavuvi, wachimba madini, walimu n.k. Tumia akili kufikiri acha kutumia nyeo
Kama kulima siyo lazima, basi funga DOMO lako kuhusu Bei za vyakula!!
 
Wote mnaotaka wakulima wanyonywe ni hatari na wachawi kabisa. Kalime I mgawe bure. Vinyogoli wakubwa.
 
Nafaka gani sasa hivi zinatoka Kakonko kwenda Rwanda na Uganda? Maana mahindi ya Uganda ni bei rahisi kuliko ya Tanzania, na mihogo msimu wake bado

Mimi nipo Bukoba, Magari ya mahindi yanatoka Uganda kuja Tanzania sababu mahindi kule ni bei rahisi
Kuna kitu sielewi.

Kama kuna Tani 200.000 au hata 100.000-Zinakaa kusubiri nini huko NFRA?

Tani 200.000 inaweza kutumika mpk mwezi wa Nne na wakati huo Mahindi mapya tayari!

Supply ikiwa juu kidogo tu bei zinashuka automatically-Makelele yanakwisha!

Leo Uganda inaingiza Mahindi mpk Arusha wakati una Tani 200.000 Kwenye Maghala tafsiri yake nini?
 
Mahindi tani 200,000 sio kwamba ndio zilizopo sasa hivi, hiyo ni maximum capacity ya maghala yetu, ambazo ziliishaanza kugawanywa tangu mwaka jana kwa wilaya zilizokuwa na hali mbaya kichakula

Ila hata wangezigawa zote kwa pamoja bado zisingepunguza bei, ni kidogo ukilinganisha na mahitaji ya soko
 
Back
Top Bottom