butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Acheni kujaza watu ujinga,hakuna taifa ambalo kila mtu ni Mkulima.Na uyo Waziri wenu Kilaza anawadanganya eti Kilimo Biashara,anajua ata anachozungumza? Agribusiness inaendeshwa kwa jembe la mkono!!Wacha uvivu ingia shambani ukalime upunguze huo mfumuko wa bei za vyakula. Hakuna vya bure sasa.