Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwahiyo ni uongo?[emoji3][emoji3]sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4
Shida ni wazungu, wanatutawala kupitia mikopo, periodLuhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria...
Uongo vipi ndo uhalisia
Na nani?Na bado watachaguliwa
Sijawahi kuuza mpunga kwa shillingi laki mbili kwa gunia.Ni msimu huu.Alisikika mkulima wa Kilangali Kilosa[emoji3][emoji3]sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4
Acha ushabiki wa kipumbavuSijawahi kuuza mpunga kwa shillingi laki mbili kwa gunia.Ni msimu huu.Alisikika mkulima wa Kilangali Kilosa
Utachagua ule nyama nusu au maharage??[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4
Na sisi wakulima. The majorityNa nani?
Auze laki mbili,anunue asivyolima kwa laki 3Sijawahi kuuza mpunga kwa shillingi laki mbili kwa gunia.Ni msimu huu.Alisikika mkulima wa Kilangali Kilosa
Mkulima naye ni Mtanzania anastahili anufaike na anachozalisha.Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria...
Watzn 70% ni wakulima ndio Bashe anawapigania,nyie wapuuzi wa 30% wa huko Mjini nendeni mkalime Ili muone..Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria...
Kula kumbikumbi na senene😀😀sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4