Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?

Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.

Hii ni nonsense

 
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria...
Watzn 70% ni wakulima ndio Bashe anawapigania,nyie wapuuzi wa 30% wa huko Mjini nendeni mkalime Ili muone..

Bashe Kamatia hapo hapo.
 
Luhaga ana hoja nzuri sana, ila anaonekana kinega.
Anapigwa attacks kila kona

Hoja na Foreign Reserve kasema imepungua, wakakubali ila kwa kona kibao
 
Back
Top Bottom