Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Shida ni wazungu,wanatutawala kupitia mikopo,period
And you still find sababu ya kulaumu wazungu kwa vitu local?
Yaani sis wenyewe tunashindwa kusolve matatizo yetu lawama atupiwe mzungu ambae hajui hata bei ya mchel bongo inashuka au kupanda
Tumewekewa limit kuwa African are there for raw material,not producing for industry,how to achieve that,is by maintenance of low life continuallyAnd you still find sababu ya kulaumu wazungu kwa vitu local?
Yaani sis wenyewe tunashindwa kusolve matatizo yetu lawama atupiwe mzungu ambae hajui hata bei ya mchel bongo inashuka au kupanda?
Gari ya Masoud Kipanya imeendelezwa?And you still find sababu ya kulaumu wazungu kwa vitu local?
Yaani sis wenyewe tunashindwa kusolve matatizo yetu lawama atupiwe mzungu ambae hajui hata bei ya mchel bongo inashuka au kupanda?
Tuna waziri kiazi si wengine ndugu zetu wakulima,yaani hapo anapiga kelele ila wakulima washauza chakula tokea mwaka jana.Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Maharage yana bei kuliko nusu kilo ya nyama 🤣🤣🤣Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
ningepewa nafasi nimshauri, ningemwambia aache kupiga vijembe, apige kazi. ukipiga kijembe sana unaweza kujikuta unatia kitumbua chako mchanga. piga kazi zikutetee.Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Mkulima naye ni Mtanzania anastahili anufaike na anachozalisha.
Bashe badala ajibu kwa usahihi changamoto za wizara yake anakimbilia kujificha kwenye sekta ya uvuvi ambayo sio ya kwake...akiambiwa alete majina hapo bungeni ya wavuvi walioonewa ataweza au anajiongelesha tu ili kuhamisha mjadala akidhani wananchi ni wajingaLuhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Hana lotelote. Kwani mpina alikua anasimamia mauzo ya samaki au kusimamia viwango vya neti za uvuvi.Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Wenzetu mpo dunia gn? Haujui ukame uliotokea mwakajana? Ukapelekea wakulima kupata mazao kwa kiwango kidogo.😀😀sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4
Vyakula ni Mali ya wakulima,wanalima,wanapanda Kisha huuza ili kuendesha maisha,Kama unaona wanakuuzia Bei ghali,mvua bado zinanyesha,kalime uwakomesheUyo msomali janja janja nyingi sijawai mwelewa kabisa kama kashindwa kucontrol bei za vyakula point yake anakwambia nendeni mkalime.
Kupanda kwa bei za vyakula ni kwasababu tuna export sana uzalishaji wetu bado ni mdogo afu tuna export hapa bei lazima zipande tu, hii point wengi wanairuka. Vyakula vinakwenda Somalia huko
Kumbe asivyolima mnauza kwa Bei kubwa Ila anavyolima mnataka mtelezo!?Auze laki mbili,anunue asivyolima kwa laki 3
Hebu tuoneshe maghala ya walanguzi tukaone hayo mazao!!..Lima,mvua bado zinanyeshaTuna waziri kiazi si wengine ndugu zetu wakulima,yaani hapo anapiga kelele ila wakulima washauza chakula tokea mwaka jana.
Sasa hivi wenye hizo bidhaa ni walanguzi, eti anadai awamu yake wakulima ndio wanapiga pesa tatizo lake hana hata data,wakulime hali zao zipo vilevile wanaopiga pesa ni walanguzi.
Nionyeeshe mkulima anayeuza mchele japo kwa 3000tsh sasa hivi then nitakuonyesha hilo ghala.Hebu tuoneshe maghala ya walanguzi tukaone hayo mazao!!..Lima,mvua bado zinanyesha
Na wewe kawe mlanguzi upige hela!Tuna waziri kiazi si wengine ndugu zetu wakulima,yaani hapo anapiga kelele ila wakulima washauza chakula tokea mwaka jana.
Sasa hivi wenye hizo bidhaa ni walanguzi, eti anadai awamu yake wakulima ndio wanapiga pesa tatizo lake hana hata data,wakulime hali zao zipo vilevile wanaopiga pesa ni walanguzi.
Kwa hiyo wote tuwe walanguzi?Na wewe kawe mlanguzi upige hela!
Tz Ina watu 60+m,70+% ni wakulima,umewatembelea zaidi ya wakulima 30+m na ukajiridhisha kwamba hawana mazao!?..ungekua unajua misimu ya kilimo na biashara ya mazao ungejua kwamba Sasa ni kilele Cha Bei za mazao na wakulima nikiwemo Mimi,husubiri kipindi hiki kwa kuwa mwezi ujao mavuno yataanza,nauza gunia la mpunga laki 2.5-8,gunia likikobolewa hutoa kilo 54-56,Kama mnauziwa kilo 3500 shauri yenuNionyeeshe mkulima anayeuza mchele japo kwa 3000tsh sasa hivi then nitakuonyesha hilo ghala.
NARUDIA TENA HAYUPO MKULIMA MWENYE CHAKULA WENGI WANAVYAKULA VYA KULA WAO NA FAMILIA ZAO .WANAOTAMBA SASA HIVI NI WALANGUZI.
Na nyie tumieni fursa walioiona walanguziNionyeeshe mkulima anayeuza mchele japo kwa 3000tsh sasa hivi then nitakuonyesha hilo ghala.
NARUDIA TENA HAYUPO MKULIMA MWENYE CHAKULA WENGI WANAVYAKULA VYA KULA WAO NA FAMILIA ZAO .WANAOTAMBA SASA HIVI NI WALANGUZI.