Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

Shida ni wazungu,wanatutawala kupitia mikopo,period

And you still find sababu ya kulaumu wazungu kwa vitu local?

Yaani sis wenyewe tunashindwa kusolve matatizo yetu lawama atupiwe mzungu ambae hajui hata bei ya mchel bongo inashuka au kupanda?
 
Mimi namkubali bashe kwa sababu ni muda wake na ana nata vizuri na beat la mama...mpina kama alishindwa kutajirika kipindi cha mwendazake basi akae chini na ajiulize hivi alikosea wapi!
 
And you still find sababu ya kulaumu wazungu kwa vitu local?
Yaani sis wenyewe tunashindwa kusolve matatizo yetu lawama atupiwe mzungu ambae hajui hata bei ya mchel bongo inashuka au kupanda

And you still find sababu ya kulaumu wazungu kwa vitu local?
Yaani sis wenyewe tunashindwa kusolve matatizo yetu lawama atupiwe mzungu ambae hajui hata bei ya mchel bongo inashuka au kupanda?
Tumewekewa limit kuwa African are there for raw material,not producing for industry,how to achieve that,is by maintenance of low life continually
 
And you still find sababu ya kulaumu wazungu kwa vitu local?
Yaani sis wenyewe tunashindwa kusolve matatizo yetu lawama atupiwe mzungu ambae hajui hata bei ya mchel bongo inashuka au kupanda?
Gari ya Masoud Kipanya imeendelezwa?
The answer is no!
 
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?

Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.

Hii ni nonsense

View attachment 2509050
Tuna waziri kiazi si wengine ndugu zetu wakulima,yaani hapo anapiga kelele ila wakulima washauza chakula tokea mwaka jana.

Sasa hivi wenye hizo bidhaa ni walanguzi, eti anadai awamu yake wakulima ndio wanapiga pesa tatizo lake hana hata data,wakulime hali zao zipo vilevile wanaopiga pesa ni walanguzi.
 
Maharage yana bei kuliko nusu kilo ya nyama 🤣🤣🤣
 
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?

Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.

Hii ni nonsense

View attachment 2509050
ningepewa nafasi nimshauri, ningemwambia aache kupiga vijembe, apige kazi. ukipiga kijembe sana unaweza kujikuta unatia kitumbua chako mchanga. piga kazi zikutetee.
 
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?

Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.

Hii ni nonsense

View attachment 2509050
Bashe badala ajibu kwa usahihi changamoto za wizara yake anakimbilia kujificha kwenye sekta ya uvuvi ambayo sio ya kwake...akiambiwa alete majina hapo bungeni ya wavuvi walioonewa ataweza au anajiongelesha tu ili kuhamisha mjadala akidhani wananchi ni wajinga
 
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?

Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.

Hii ni nonsense

View attachment 2509050
Hana lotelote. Kwani mpina alikua anasimamia mauzo ya samaki au kusimamia viwango vya neti za uvuvi.
Huyu anachofanya ni kuona mazao yananunuliwa toka wakulima na walanguzi ambao wala hawatoi bei nzuri ila wanauza mazao hayo kwa bei kubwa ya kilanguzi au kukisafirisha nje. Asimdanganye mtu ni kwa faida ya wakulima.
Huyu bashe asijidai ni muomini sana wa soko huru wakati soko sio huru kuna manipulations na uhuni kibao. Kama hawataki kudhibiti soko la chakula wananchi tutawalazimisha. Kwa vipi wasubiri wataona wenyewe.
Ifike mahali ccm wanapoendelea kujidai wanafuata itikadi ya ujamaa wasituwekee mawaziri waomini wa dhuluma kwa wavuja jasho i.e wakulima na wafanyakazi.
 
Uyo msomali janja janja nyingi sijawai mwelewa kabisa kama kashindwa kucontrol bei za vyakula point yake anakwambia nendeni mkalime.

Kupanda kwa bei za vyakula ni kwasababu tuna export sana uzalishaji wetu bado ni mdogo afu tuna export hapa bei lazima zipande tu, hii point wengi wanairuka. Vyakula vinakwenda Somalia huko
Vyakula ni Mali ya wakulima,wanalima,wanapanda Kisha huuza ili kuendesha maisha,Kama unaona wanakuuzia Bei ghali,mvua bado zinanyesha,kalime uwakomeshe
 
Tuna waziri kiazi si wengine ndugu zetu wakulima,yaani hapo anapiga kelele ila wakulima washauza chakula tokea mwaka jana.

Sasa hivi wenye hizo bidhaa ni walanguzi, eti anadai awamu yake wakulima ndio wanapiga pesa tatizo lake hana hata data,wakulime hali zao zipo vilevile wanaopiga pesa ni walanguzi.
Hebu tuoneshe maghala ya walanguzi tukaone hayo mazao!!..Lima,mvua bado zinanyesha
 
Nionyeeshe mkulima anayeuza mchele japo kwa 3000tsh sasa hivi then nitakuonyesha hilo ghala.

NARUDIA TENA HAYUPO MKULIMA MWENYE CHAKULA WENGI WANAVYAKULA VYA KULA WAO NA FAMILIA ZAO .WANAOTAMBA SASA HIVI NI WALANGUZI.
 
Tuna waziri kiazi si wengine ndugu zetu wakulima,yaani hapo anapiga kelele ila wakulima washauza chakula tokea mwaka jana.

Sasa hivi wenye hizo bidhaa ni walanguzi, eti anadai awamu yake wakulima ndio wanapiga pesa tatizo lake hana hata data,wakulime hali zao zipo vilevile wanaopiga pesa ni walanguzi.
Na wewe kawe mlanguzi upige hela!
 
Nionyeeshe mkulima anayeuza mchele japo kwa 3000tsh sasa hivi then nitakuonyesha hilo ghala.

NARUDIA TENA HAYUPO MKULIMA MWENYE CHAKULA WENGI WANAVYAKULA VYA KULA WAO NA FAMILIA ZAO .WANAOTAMBA SASA HIVI NI WALANGUZI.
Tz Ina watu 60+m,70+% ni wakulima,umewatembelea zaidi ya wakulima 30+m na ukajiridhisha kwamba hawana mazao!?..ungekua unajua misimu ya kilimo na biashara ya mazao ungejua kwamba Sasa ni kilele Cha Bei za mazao na wakulima nikiwemo Mimi,husubiri kipindi hiki kwa kuwa mwezi ujao mavuno yataanza,nauza gunia la mpunga laki 2.5-8,gunia likikobolewa hutoa kilo 54-56,Kama mnauziwa kilo 3500 shauri yenu
 
Nionyeeshe mkulima anayeuza mchele japo kwa 3000tsh sasa hivi then nitakuonyesha hilo ghala.

NARUDIA TENA HAYUPO MKULIMA MWENYE CHAKULA WENGI WANAVYAKULA VYA KULA WAO NA FAMILIA ZAO .WANAOTAMBA SASA HIVI NI WALANGUZI.
Na nyie tumieni fursa walioiona walanguzi
 
Back
Top Bottom