King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Waliochagua kuwa wakulima au walanguzi kwanini uwapangie kwani wewe wamekupangia nini kwenye shuhuli zako? Kama unaona walanguzi wanafaidika na si uwe mlanguzi?Kwa hiyo wote tuwe walanguzi?
Huna hoja.
Brother ninacho ongea na kijua bahati nzuri upande wa mama natokea mkoa unaolima mchele kwa wingi, upande wa baba natokea mkoa unaolima ndizi kwa wingi nina ndugu zangu kibao ni wa kulima hata sisi wenyewe chakula cha kula mwaka mzima (mchele) tunanunua kwao so kwa sample ya hii mikoa miwili narudia tena HAMNA MKULIMA MWENYE CHAKULA ,VYAKULA VYOTE WAME VISHIKILIA WALANGUZI.Tz Ina watu 60+m,70+% ni wakulima,umewatembelea zaidi ya wakulima 30+m na ukajiridhisha kwamba hawana mazao!?..ungekua unajua misimu ya kilimo na biashara ya mazao ungejua kwamba Sasa ni kilele Cha Bei za mazao na wakulima nikiwemo Mimi,husubiri kipindi hiki kwa kuwa mwezi ujao mavuno yataanza,nauza gunia la mpunga laki 2.5-8,gunia likikobolewa hutoa kilo 54-56,Kama mnauziwa kilo 3500 shauri yenu
Hata wewe unaweza tumia ila lazima ukweli uzungumzwe haijalishi kama utakuumiza au laaah.Na nyie tumieni fursa walioiona walanguzi
😀😀sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4
Unasumbuka na roho mbaya ya umasikini, waache walanguzi wapige hela, pia washauri wanaolalamika mazao yamepanda bei washauri watumie mbinu za walanguzi, wakanunue bei fororo Kwa wakulima msimu wa mavuno watunze stoo, bei zikipanda ni kujisevia vya stoo.Hata wewe unaweza tumia ila lazima ukweli uzungumzwe haijalishi kama utakuumiza au laaah.
Tunacheza ngoma ya walanguzi ndio wanaopiga hela ila mkulima hali yake ipo vilevile.
Umasikini labda unauzungumzia ukoo wenu ila kwetu hamna wavivu na hamna hao masikini.Unasumbuka na roho mbaya ya umasikini, waache walanguzi wapige hela, pia washauri wanaolalamika mazao yamepanda bei washauri watumie mbinu za walanguzi, wakanunue bei fororo Kwa wakulima msimu wa mavuno watunze stoo, bei zikipanda ni kujisevia vya stoo.
Bashe kasema nendeni mkalime mazao yakifurika mtaani kuzidi mahitaji bei itaporomoka automatically, Ila kama unatuonea huruma sie wa mjini kuuziwa bei juu tunakuomba uwe mlanguzi, ukanunue Kwa wakulima bei fororo na utuuzie mjini Kwa bei hiyo hiyo fororo tuwakomeshe walanguzi wenye tamaaUmasikini labda unauzungumzia ukoo wenu ila kwetu hamna wavivu na hamna hao masikini.
Ila uzuri umezunguka ukarudi palepale ninapo pazungumzia mimi "bei fororo........"na hizo bei fororo ndio bei zao wakulima ila sio hizi za sasa za walanguzi.
Na huyu waziri wetu msomali anahakikisha ndugu zake wanapata vyakula kutoka tanzania😆Uyo msomali janja janja nyingi sijawai mwelewa kabisa kama kashindwa kucontrol bei za vyakula point yake anakwambia nendeni mkalime.
Kupanda kwa bei za vyakula ni kwasababu tuna export sana uzalishaji wetu bado ni mdogo afu tuna export hapa bei lazima zipande tu, hii point wengi wanairuka. Vyakula vinakwenda Somalia huko
Ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia hapo hivi unazani kila mtu akiamua ajiuzie bei atakayo itakuwaje, pata picha Mfamasia nae akiuza dawa kwa bei aitakayo yy inazani itakuwaje.Bashe kasema nendeni mkalime mazao yakifurika mtaani kuzidi mahitaji bei itaporomoka automatically, Ila kama unatuonea huruma sie wa mjini kuuziwa bei juu tunakuomba uwe mlanguzi, ukanunue Kwa wakulima bei fororo na utuuzie mjini bei Kwa bei hiyo hiyo fororo tuwakomeshe walanguzi wenye tamaa
We jamaa ni pimbi kweli kumbe hakuna anaweza kujiuzia bei atakavyo asa mbona mnalalamika walanguzi wanajiuzia bei watakavyo? Walanguzi wamewezaje ye mfamasia ashindweje?Ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia hapo hivi unazani kila mtu akiamua ajiuzie bei atakayo itakuwaje, pata picha Mfamasia nae akiuza dawa kwa bei aitakayo yy inazani itakuwaje.
Kabla ya kutafakari fikirisha ubongo faida hisi kuondolee ubinadamu na utu be realistic.
Wacheni upumbavu wa kutaka Bei ziteremke kiwafurahisha wavivu wa mijini huku wakulima wakiumia kwa kununua pembejeo za kilimo kwa Bei ghali. Kama huwezi kununua maharage kwa Bei ya sasa basi nenda ukalime mwenyewe.Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Acha ujinga wewe,kwa hiyo huko kwenu ndiyo wakulima sisi wengine siyo!?..na Hawa wakenya humu mashineni tunawauzia nini!?Brother ninacho ongea na kijua bahati nzuri upande wa mama natokea mkoa unaolima mchele kwa wingi, upande wa baba natokea mkoa unaolima ndizi kwa wingi nina ndugu zangu kibao ni wa kulima hata sisi wenyewe chakula cha kula mwaka mzima (mchele) tunanunua kwao so kwa sample ya hii mikoa miwili narudia tena HAMNA MKULIMA MWENYE CHAKULA ,VYAKULA VYOTE WAME VISHIKILIA WALANGUZI.
Walanguzi ndio wanaopiga hela mda huu na huyu waziri wako anacheza ngoma za walanguzi.
Waziri wa kilimo analinda mkulima kwenye maslahi mazuri ya Bei na sokoLuhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Kwa hiyo wewe kima unaona hata mfamasia nae akiongeza bei ni sawa au sio?We jamaa ni pimbi kweli kumbe hakuna anaweza kujiuzia bei atakavyo asa mbona mnalalamika walanguzi wanajiuzia bei watakavyo? Walanguzi wamewezaje ye mfamasia ashindweje?
Wewe ndio mjinga mimi nimetumia sample ya nitokapo. Wewe hata ukikasirikaila haiondoi ukweli wakulima sasa hivi hawana chakula cha kuuza wanavyo vya kula wenyewe.Acha ujinga wewe,kwa hiyo huko kwenu ndiyo wakulima sisi wengine siyo!?..na Hawa wakenya humu mashineni tunawauzia nini!?
Sampo ya utokapo au koo zako mbili!!!?..Wewe ndio mjinga mimi nimetumia sample ya nitokapo. Wewe hata ukikasirikaila haiondoi ukweli wakulima sasa hivi hawana chakula cha kuuza wanavyo vya kula wenyewe.
Wanaouza sasa hivi ni WALANGUZI.
Utu my ass , kilimo ni biashara kama biashara nyingine ,wapuuzi wakubwa , cement ,mafuta ya kula ,petroli ,diesel , kerosene mbona tangia vimepanda bei havijawahi kushuka na hamlalamiki kushushwa bei mkienda kununua ,na kila siku mnanunua ? ,Ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia hapo hivi unazani kila mtu akiamua ajiuzie bei atakayo itakuwaje, pata picha Mfamasia nae akiuza dawa kwa bei aitakayo yy inazani itakuwaje.
Kabla ya kutafakari fikirisha ubongo faida hisi kuondolee ubinadamu na utu be realistic.
Sasa ushasema supermarketJana nimeingia super market nakutana na kg 1 ya Blue band TZS 12,000/=!
Karudia tena kusoma nikicho kiandika majibu yako pale. Sijazungumia ukoo bali mikoa ya asili nilipotoka.Sampo ya utokapo au koo zako mbili!!!?..