Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

Tz Ina watu 60+m,70+% ni wakulima,umewatembelea zaidi ya wakulima 30+m na ukajiridhisha kwamba hawana mazao!?..ungekua unajua misimu ya kilimo na biashara ya mazao ungejua kwamba Sasa ni kilele Cha Bei za mazao na wakulima nikiwemo Mimi,husubiri kipindi hiki kwa kuwa mwezi ujao mavuno yataanza,nauza gunia la mpunga laki 2.5-8,gunia likikobolewa hutoa kilo 54-56,Kama mnauziwa kilo 3500 shauri yenu
Brother ninacho ongea na kijua bahati nzuri upande wa mama natokea mkoa unaolima mchele kwa wingi, upande wa baba natokea mkoa unaolima ndizi kwa wingi nina ndugu zangu kibao ni wa kulima hata sisi wenyewe chakula cha kula mwaka mzima (mchele) tunanunua kwao so kwa sample ya hii mikoa miwili narudia tena HAMNA MKULIMA MWENYE CHAKULA ,VYAKULA VYOTE WAME VISHIKILIA WALANGUZI.

Walanguzi ndio wanaopiga hela mda huu na huyu waziri wako anacheza ngoma za walanguzi.
 
Umekaa nyuma ya keyboard [emoji3491] unalalamika bei za vyakula.

Nenda kalime mvua bado zinanyesha mashamba yapo tena mnapewa bure kila mwenye uhitaji anapewa hekari kumi na mbolea ni ya ruzuku

Utakuja hapa mwakani kulia lia tena bei zimepanda

Mvivu mmoja.
 
Na nyie tumieni fursa walioiona walanguzi
Hata wewe unaweza tumia ila lazima ukweli uzungumzwe haijalishi kama utakuumiza au laaah.

Tunacheza ngoma ya walanguzi ndio wanaopiga hela ila mkulima hali yake ipo vilevile.
 
Unasumbuka na roho mbaya ya umasikini, waache walanguzi wapige hela, pia washauri wanaolalamika mazao yamepanda bei washauri watumie mbinu za walanguzi, wakanunue bei fororo Kwa wakulima msimu wa mavuno watunze stoo, bei zikipanda ni kujisevia vya stoo.
 
Umasikini labda unauzungumzia ukoo wenu ila kwetu hamna wavivu na hamna hao masikini.

Ila uzuri umezunguka ukarudi palepale ninapo pazungumzia mimi "bei fororo........"na hizo bei fororo ndio bei zao wakulima ila sio hizi za sasa za walanguzi.
 
Bashe kasema nendeni mkalime mazao yakifurika mtaani kuzidi mahitaji bei itaporomoka automatically, Ila kama unatuonea huruma sie wa mjini kuuziwa bei juu tunakuomba uwe mlanguzi, ukanunue Kwa wakulima bei fororo na utuuzie mjini Kwa bei hiyo hiyo fororo tuwakomeshe walanguzi wenye tamaa
 
Uyo msomali janja janja nyingi sijawai mwelewa kabisa kama kashindwa kucontrol bei za vyakula point yake anakwambia nendeni mkalime.

Kupanda kwa bei za vyakula ni kwasababu tuna export sana uzalishaji wetu bado ni mdogo afu tuna export hapa bei lazima zipande tu, hii point wengi wanairuka. Vyakula vinakwenda Somalia huko
Na huyu waziri wetu msomali anahakikisha ndugu zake wanapata vyakula kutoka tanzania😆
 
Bashe kasema nendeni mkalime mazao yakifurika mtaani kuzidi mahitaji bei itaporomoka automatically, Ila kama unatuonea huruma sie wa mjini kuuziwa bei juu tunakuomba uwe mlanguzi, ukanunue Kwa wakulima bei fororo na utuuzie mjini bei Kwa bei hiyo hiyo fororo tuwakomeshe walanguzi wenye tamaa
Ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia hapo hivi unazani kila mtu akiamua ajiuzie bei atakayo itakuwaje, pata picha Mfamasia nae akiuza dawa kwa bei aitakayo yy inazani itakuwaje.

Kabla ya kutafakari fikirisha ubongo faida hisi kuondolee ubinadamu na utu be realistic.
 
We jamaa ni pimbi kweli kumbe hakuna anaweza kujiuzia bei atakavyo asa mbona mnalalamika walanguzi wanajiuzia bei watakavyo? Walanguzi wamewezaje ye mfamasia ashindweje?
 
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?

Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.

Hii ni nonsense

View attachment 2509050
Wacheni upumbavu wa kutaka Bei ziteremke kiwafurahisha wavivu wa mijini huku wakulima wakiumia kwa kununua pembejeo za kilimo kwa Bei ghali. Kama huwezi kununua maharage kwa Bei ya sasa basi nenda ukalime mwenyewe.

Unachokiita kusimamia Sheria wakati wa Luhàga Mpina ilikuwa ni matokeo ya kutawaliwa na Rais Kichaa Magufuli.
 
Brother ninacho ongea na kijua bahati nzuri upande wa mama natokea mkoa unaolima mchele kwa wingi, upande wa baba natokea mkoa unaolima ndizi kwa wingi nina ndugu zangu kibao ni wa kulima hata sisi wenyewe chakula cha kula mwaka mzima (mchele) tunanunua kwao so kwa sample ya hii mikoa miwili narudia tena HAMNA MKULIMA MWENYE CHAKULA ,VYAKULA VYOTE WAME VISHIKILIA WALANGUZI.

Walanguzi ndio wanaopiga hela mda huu na huyu waziri wako anacheza ngoma za walanguzi.
Acha ujinga wewe,kwa hiyo huko kwenu ndiyo wakulima sisi wengine siyo!?..na Hawa wakenya humu mashineni tunawauzia nini!?
 
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?

Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.

Hii ni nonsense

View attachment 2509050
Waziri wa kilimo analinda mkulima kwenye maslahi mazuri ya Bei na soko
 
We jamaa ni pimbi kweli kumbe hakuna anaweza kujiuzia bei atakavyo asa mbona mnalalamika walanguzi wanajiuzia bei watakavyo? Walanguzi wamewezaje ye mfamasia ashindweje?
Kwa hiyo wewe kima unaona hata mfamasia nae akiongeza bei ni sawa au sio?

Sijui ndio wale wanaofikiri kwa kutumia makalio.Hivi unajua mfamasia kama nae akianza kulangua bei hivi husha jiuliza hao ndugu zako kijijini watakuwa na hali gani wakiumwa,sometimes husijifikirie ww wafikirie na wengine na ndicho nilicho maanisha mimi.
 
Acha ujinga wewe,kwa hiyo huko kwenu ndiyo wakulima sisi wengine siyo!?..na Hawa wakenya humu mashineni tunawauzia nini!?
Wewe ndio mjinga mimi nimetumia sample ya nitokapo. Wewe hata ukikasirikaila haiondoi ukweli wakulima sasa hivi hawana chakula cha kuuza wanavyo vya kula wenyewe.

Wanaouza sasa hivi ni WALANGUZI.
 
Sampo ya utokapo au koo zako mbili!!!?..
 
Ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia hapo hivi unazani kila mtu akiamua ajiuzie bei atakayo itakuwaje, pata picha Mfamasia nae akiuza dawa kwa bei aitakayo yy inazani itakuwaje.

Kabla ya kutafakari fikirisha ubongo faida hisi kuondolee ubinadamu na utu be realistic.
Utu my ass , kilimo ni biashara kama biashara nyingine ,wapuuzi wakubwa , cement ,mafuta ya kula ,petroli ,diesel , kerosene mbona tangia vimepanda bei havijawahi kushuka na hamlalamiki kushushwa bei mkienda kununua ,na kila siku mnanunua ? ,
Mbegu ,mbolea , pembejeo ,vifungashio ,usafiri kila kitu kimepanda bei
Ina maana mkulima ndio mnataka mumbebeshe burden kwa kuuza kwa hasara ili nyie mnufaike , Kenge kweli
Unafikiri kuweka bei elekezi na kumlazimisha mkulima kuuza mazao kwa hasara ndio solution ya kuzuia mfumuko wa bei ? , Mtakula makalio yenu mkulima akiacha kulima ?
Tumieni akili nyie
 
Back
Top Bottom