Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

Wewe payuka ila hamna mkulima mwenye chakula cha kuuza,wana vyakula vya kula wenyewe na familia zao ,sasa hivi wanaotamba ni walanguzi.
 
Ndomana nakwambia we jamaa ni pimbi, bei uzinazo the right time ni bei ya nguvu soko Kwa kila bidhaa, kama unazani unaweza kuuza utakavyo nenda kauze mchele kilo moja Kwa elf20 kama utapata mteja au kauze kidonge kimoja cha panado Kwa mia5 kama utapata mteja, usipende kulia lia
 
Karudia tena kusoma nikicho kiandika majibu yako pale. Sijazungumia ukoo bali mikoa ya asili nilipotoka.
Nikarudie kusoma upuuzi!!..nakwambia Mimi mkulima na nauza Sasa hivi mpunga wangu,narekebisha Kubota nianze mbilinge za kilimo,wakulima wenzangu wengi tu wanauza mpunga wao Sasa hivi,wee unanipa story za koo zako ndiyo iwe sampo ya tz nzima..acha ujinga dogo
 
Tumewekewa limit kuwa African are there for raw material,not producing for industry,how to achieve that,is by maintenance of low life continually
Rubbish ,ni bora uandike kisukuma
 
Nani analia wakati tunaongea reality bei ya vyakula sasa hivi ni ya walanguzi na si ya wakulima.
 
Sasa kama upuuzi wewe kwa kwa nini umequotes.

Hamna mkulima anayeuza chakula sasa hivi tunacheza ngoma za walanguzi na hali za wakulima ni zilezile hazija badilika.
 
Maharage yana bei kuliko nusu kilo ya nyama 🤣🤣🤣
Acheni kukalilli maisha ,si mnunue nyama mle ,nayo ni chanzo cha protein , soko la maharage limepatikana huko India ,na maharage yanatoka nje ,kama unataka ya bei nafuu lima yako ,usiwapangie watu maisha
 
Nani analia wakati tunaongea reality bei ya vyakula sasa hivi ni ya walanguzi na si ya wakulima.
ASa kama ni ya walanguzi so unataka nini sasa? HIyo bei ya mlanguzi ndo mzania wa supply na demand ulipobalance, mkitaka kumkomesha mlanguzi twendeni tukalime mavuno yatapike mtaani huyo mlanguzi atashusha tu bei na ndo bashe anapokazia
 
ASa kama ni ya walanguzi so unataka nini sasa? HIyo bei ya mlanguzi ndo mzania wa supply na demand ulipobalance, mkitaka kumkomesha mlanguzi twendeni tukalime mavuno yatapike mtaani huyo mlanguzi atashusha tu bei na ndo bashe anapokazia
Wahenga walisema akili ni nywele ila tatizo hawa kuidentify ni nywele za enaeo gani.

Kwa hiyo wewe unaona sawa bei kupangwa na walanguzi? Hivi husha jiuliza kila bidhaa ikipangwa na walanguzi hali itakuwaje na ndio maana nikakupa mfano wa mfamasia ila naona umeshindwa kufikiria nje ya boksi.

Pangeni bei ila ziendane na uhalisia ila si hizi za kilanguzi, hamna mkulima anayeuza chakula kwa sasa tunacheza ngoma za walanguzi.
 
Ukiona nafaka zinauzwa bei ghali kalime. Period
 
Nionyeeshe mkulima anayeuza mchele japo kwa 3000tsh sasa hivi then nitakuonyesha hilo ghala.

NARUDIA TENA HAYUPO MKULIMA MWENYE CHAKULA WENGI WANAVYAKULA VYA KULA WAO NA FAMILIA ZAO .WANAOTAMBA SASA HIVI NI WALANGUZI.
Pambana na hali yako ,tangu lini mkawa na uchungu na mkulima wa nchi hii nyie pimbi ?
Kwani mkulima ni zwazwa akubali kukandamizwa ,we una akili kuliko mkulima aliyelima na kupata hayo mazao ? ,Au wewe unajiona kama slave master kwa mkulima , na mkulima mnajiona kama msukule wenu au mtumwa wa kuwalimia na kuwauzia kwa hasara ?
 
We sikiliza hizi bei zinazouzwa sasa hivi si za wakulima ni za walanguzi wakulima hali zao tunazi fahamu zipo vilevile.
 
Narudia kusema we jamaa ni pimbi mlanguzi hajapanga bei hiyo bei ya nguvu ya soko, ndomana nikakupa mfano hebu we vaa uhusika wa mlanguzi asaiv halafu uza mchele kilo moja Kwa elf20 kama utapata mteja, we ni kichwa ngumu huwezi kuelewa mambo, umekariri tu bei ya mlanguzi bei ya mlanguzi, so Mie mkulima nikiuza bei anayouza sasahivi mlanguzi, wateja watakataa kununua Kwa sababu Mie sio mlanguzi?
 
Wewe hamna mkulima anayeuza chakula sasa hivi na bei ya sasa hivi haina uhalisia so tunacheza ngoma za walanguzi huku wakulima wakibaki na bei zilezile.
 
Mkulima wa jembe la mkono hawezi kutoboa hata mchele kilo iuzwe 100000 hapa kilichopo ni kuwa wakulima wakubwa wa trector ambao hata hawazidi 2% ya wakulima wote Tz.
 
Wewe kima hamna mkulima anayeuza chakula sasa hivi na bei ya sasa hivi haina uhalisia so tunacheza ngoma za walanguzi huku wakulima wakibaki na bei zilezile.
Ahha kumbe nishafahamu shida yako, kumbe Una chuki na walanguzi, jamani walanguzi shikilieni hapo hapo hakuna kushusha bei, make typo wakulima wengi tunaotembelea nyota zenu, huyu pimbi kakariri babu zake wakivuna chap na haraka wanauza na kwenda kunywa ulanzi, asa kupitia babu zake anazani wakulima wote tupo hivyo.
 


Halafu sikujua kumbe wewe mlanguzi, sasa ulikuwa unakataa nini kwamba wanaouza chakula sasa hivi si wakulima bali ni walanguzi.

Ila si shangai lazima utete upande wako ila haiondoi kwamba mnalangua bei ipo nje ya uhalisia na mkulima hali yake bado ipo vilevile na si hizi kamba za waziri wenu kusema eti awamu yake wakulima wana hali nzuri kumbe walanguzi ndio wanaopiga hela.


Umezunguka weeee ila mwisho wa siku ukarudi palepale nilipo anzia sasa sijui ulikuwa unakataa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…