Utu my ass , kilimo ni biashara kama biashara nyingine ,wapuuzi wakubwa , cement ,mafuta ya kula ,petroli ,diesel , kerosene mbona tangia vimepanda bei havijawahi kushuka na hamlalamiki kushushwa bei mkienda kununua ,na kila siku mnanunua ? ,
Mbegu ,mbolea , pembejeo ,vifungashio ,usafiri kila kitu kimepanda bei
Ina maana mkulima ndio mnataka mumbebeshe burden kwa kuuza kwa hasara ili nyie mnufaike , Kenge kweli
Unafikiri kuweka bei elekezi na kumlazimisha mkulima kuuza mazao kwa hasara ndio solution ya kuzuia mfumuko wa bei ? , Mtakula makalio yenu mkulima akiacha kulima ?
Tumieni akili nyie kunguni