Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

Wewe payuka ila hamna mkulima mwenye chakula cha kuuza,wana vyakula vya kula wenyewe na familia zao ,sasa hivi wanaotamba ni walanguzi.
Hao unaowaita walanguzi ni Wachina au ni Watanzania?
 
Huyu dogo ni nanga ,mimi nimetunza gunia 100 za mchele na gunia 60 za mahindi nilizolima kule Mbozi mwaka juzi , na nilifanya hivyo kwa kuzipiga dawa na kuzihifadhi kwenye godown hapo Mlowo -Mbozi mkoa wa Songwe nimeanza kuuza mwezi wa 11 mwaka jana , baada ya kujiridhisha kuwa bei ni nzuri na inayoweZa kucover gharama zangu na faida nzuri na si mimi tu ni wakulima karibia wote wanafanya hivyo sikuhizi , hamna mkulima fara , ule uijnga wa Magufuli kufunga mipaka kuzuia mkulima asiuze nje ulikuwa ni ufara na ndio maana kuna kipindi watu waliacha kulima, yaani nilime halafu niuze kisenge , ili iweje , pumbav
Huyo zwazwa anayesema wanaouza sasa hivi ni walanguzi aende Songwe akajionee ,pimbi kabisa
 
Hao unaowaita walanguzi ni Wachina au ni Watanzania?
x=a
y=a

Then x=y

Haijaishi kama mtanzania x au mchina y as long wote ni walanguzi a ,basi hamna faida yoyote kutoka kwao,sababu wote ni walanguzi a.
 
Shida ni wazungu, wanatutawala kupitia mikopo, period
Shida ni viongozi, wetu hawan nia y dhati kuisaidia tanzania na mtanzania mwenyewe.. Hiyo mikopo ikija badala ya kufanya ya maana wao wanaila, wanajinunulia magari ya kifahari.

Tuache kulalama kusingizia wazungu wakati mengine tunajitakia wenyewe.
 
wapo wakulima wachache waliuza mazao Kwa hasara, sasa ndo linajumuisha ni wakulima nchi nzima ndo hufanya hivyo, Mie nimeamua niliache liamini linavotaka lenyewe make ndo limeamua lisimamie huko sio rahisi kuliset Imani yake upya.
 
Mwehu huyo ,achana naye , watu wanalima huko si mchezo , mtu kama Sumri ana maelfu ya mahekari huko maporini katavi ,analima kwa mitambo ya mabilioni , mtu ana modern farming equipment kama tractors kubwa ,combined harvesters ,na mashine kubwa za kupulizia madawa nk , uwekezaji mkubwa kama huo limtambo limoja unakuta milioni 800 + huko , huko kaajiri wataalamu , halafu afanye risk zote na uwekezaji huo alime ,avune halafu uje umpangie bei zako za kifara fara wakati hapo Kenya na huko Sudan bei ya gunia la kilo mia moja la mahindi ni zaidi ya mara mbili ya bei ya bongo na watu wanapigwa njaa huko chakula hakitoshi na yeye akubali ,ashindwe kuchukua semi zake zile double containers za tani thelathini kila moja afunge kupeleka chakula huko akae na kukusikiliza wewe na kelele zako ? .
Watu wanachotakiwa kuelewa ni kwamba kilimo ni biashara sio charity hiyo .
 
Usilie lie sana..bei ya mazao hayajapangwa na mlanguzi,,ila ni uhalisia tu wa demand and supply.

Jaribu kuelewa mambo,msimu ulio pita uzalishaji wa mazao haukuwa mzuri..mfano wa mazao kama mahindi, Maharage na Mchele.

Mvua zilichelewa kunyesha na pia zilikatika mapema,hali iliyo pelekea wakulima kupata mavuno hafifu. Mimi ni mkulima,naelewa ninacho kuambia.

Unategemea kwa kuadimika kwa mazao,bei iwe namna gan? Kwa taarifa yako kwa hali ya mvua ilivyo ya kusua sua..tegemeeni pia mazao kama mahindi na Maharage pamoja na Mchele kupungua uzalishaji mwaka huu na hivyo bei itazid kupanda..

Jaribu kujielimisha maana ya DEMAND and SUPPLY.
 
Mimi silii wala nini kwani ninacho kiongea na kijua sio oya oya kaa nyie.

Wanaouza sasa hivi ni walanguzi hamna mkulima mwenye chakula chakuuza,kwani washamaliza tokea mwaka jana,vyakula wanavyo walanguzi.

Nyie endeleeni na siasa zenu za kovid, ukame ,Russia na Ukraine wahuni (walanguzi) wanapita nazo hivyo hivyo wanatengeneza faida.
 
Huo ulanguzi ndo umefanyika kwa mara ya kwanza? Miaka yote huo ulanguzi unafanyika na unalijua hilo..mbona bei zilikuwa hazipai kias hicho??
 
Huo ulanguzi ndo umefanyika kwa mara ya kwanza? Miaka yote huo ulanguzi unafanyika na unalijua hilo..mbona bei zilikuwa hazipai kias hicho??
Kwa hiyo kwa kuwa umefanywa miaka yote ndio UHALILISHE ?
 
Kwa hiyo kwa kuwa umefanywa miaka yote ndio UHALILISHE ?
Mkuu, nmekuulza..mbona huo ulanguzi unafanyika miaka yote? Na mwisho haupelekei mfumuko wa bei kama tunao uona mwaka huu. Unadhani serikali inahitaji kufanya nini hasa? Labda ifanye importation ya Maharage,mahindi na Mchele kutoka nje ili kuongeza supply kwenye mzunguko..kama ambavyo imefanya kwenye mafuta ya kupikia hyo pekee ni suluhu ya kudumu lakini vinginevyo huwezi kucontrol huo mfumuko wa bei za vyakula.

Mafuta ya kupikia yameingizwa mengi kutoka nje tena bila kodi. hali iliyo pelekea soko la mafuta ya ndani kuporomoka na bei ya alizeti kuporomoka...hao hao wananchi wanapiga kelele tena.
 
Hivi kwani Bashe unazai hajui nini cha kufanya unazani? hivi unafahamu 2020 ,kulikuwa na ukame sana kwa nchi ya EA,kulikwa na lockdown ya Kovid ukanda huu wa EA,hata mvua hatukupata za kutosha ,Kenya walikuwa na hali mbaya sana kwani hata mazao yao mwengi yaliliwa na nzige ambao walikuwa wana karibia kufika Tanzania,kulikuwa hamna mfumuko wa bei wa kutisha.

Chakula tulicho nacho kinatutosha sana,wafunge mipaka na wacontrol bei. Ila ni kwambie ukitaka kujua wanaouza chakula ni walanguzi, serikali waruhusu Michele kutoka Asia huko ambao mchele ni cheap wanalima karibia mwaka mzima ,utawasikia walanguzi watakavyo lalamika na huto msikia mkulima hata mmoja kwani wao hawana chakula walioshikilia vyakula sasa hivi ni walanguzi.

Brother hali mbaya kitaa colabo ya wali maharage sasa hivi inafikia elfu 10000 je Mtanzania hali ya kawaida uwezo huo anao?
hapo bado collabo ya ugali maharage inaeza ikaemda zaidi ya 3000-4000,asubuhi basi watajibana kwa kula kiporo.

Mimi ninachotaka bei zile stahimilivu na halisi basi,maswala sijui eti nenda kalime, vip nae mfamasia akiamua kupandisha bei au ndio tutaambiwa tufungue na sisi maduka yetu ya dawa.
 
Naomba kuungana na wewe hapo kwenye kudhibiti mipaka,pamoja na kuruhusu mchele,na Maharage kuingizwa kwa dharula kutoka nje ili kuongeza supply.
 
Si ukalime ili upunguze gharama ya vyakula mkuu? Kilimo sio lelemama. Wacha wanaolima wapate wanachostahili.
 
Cheap politics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…