Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Acha watambe hiyo ni biashara hutaki hamia BurundiWewe payuka ila hamna mkulima mwenye chakula cha kuuza,wana vyakula vya kula wenyewe na familia zao ,sasa hivi wanaotamba ni walanguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha watambe hiyo ni biashara hutaki hamia BurundiWewe payuka ila hamna mkulima mwenye chakula cha kuuza,wana vyakula vya kula wenyewe na familia zao ,sasa hivi wanaotamba ni walanguzi.
Sawa. Ila haiondoi ukweli wanaopiga hela ni walanguzi na si wakulima.Acha watambe hiyo ni biashara hutaki jamia Burundi
Hao unaowaita walanguzi ni Wachina au ni Watanzania?Wewe payuka ila hamna mkulima mwenye chakula cha kuuza,wana vyakula vya kula wenyewe na familia zao ,sasa hivi wanaotamba ni walanguzi.
Huyu dogo ni nanga ,mimi nimetunza gunia 100 za mchele na gunia 60 za mahindi nilizolima kule Mbozi mwaka juzi , na nilifanya hivyo kwa kuzipiga dawa na kuzihifadhi kwenye godown hapo Mlowo -Mbozi mkoa wa Songwe nimeanza kuuza mwezi wa 11 mwaka jana , baada ya kujiridhisha kuwa bei ni nzuri na inayoweZa kucover gharama zangu na faida nzuri na si mimi tu ni wakulima karibia wote wanafanya hivyo sikuhizi , hamna mkulima fara , ule uijnga wa Magufuli kufunga mipaka kuzuia mkulima asiuze nje ulikuwa ni ufara na ndio maana kuna kipindi watu waliacha kulima, yaani nilime halafu niuze kisenge , ili iweje , pumbavNikarudie kusoma upuuzi!!..nakwambia Mimi mkulima na nauza Sasa hivi mpunga wangu,narekebisha Kubota nianze mbilinge za kilimo,wakulima wenzangu wengi tu wanauza mpunga wao Sasa hivi,wee unanipa story za koo zako ndiyo iwe sampo ya tz nzima..acha ujinga dogo
x=aHao unaowaita walanguzi ni Wachina au ni Watanzania?
Shida ni viongozi, wetu hawan nia y dhati kuisaidia tanzania na mtanzania mwenyewe.. Hiyo mikopo ikija badala ya kufanya ya maana wao wanaila, wanajinunulia magari ya kifahari.Shida ni wazungu, wanatutawala kupitia mikopo, period
wapo wakulima wachache waliuza mazao Kwa hasara, sasa ndo linajumuisha ni wakulima nchi nzima ndo hufanya hivyo, Mie nimeamua niliache liamini linavotaka lenyewe make ndo limeamua lisimamie huko sio rahisi kuliset Imani yake upya.Huyu dogo ni mali ,mimi nimetunza gunia 100 za mchele na gunia 60 za mahindi nilizolima kule Mbozi mwaka juzi , na nilifanya hivyo kwa kuzipiga dawa na kuzihifadhi kwenye godown hapo Mlowo -Mbozi mkoa wa Songwe nimeanza kuuza mwezi wa 11 mwaka jana , baada ya kujiridhisha kuwa bei ni nzuri na inayoweZa kucover gharama zangu na faida nzuri na si mimi tu ni wakulima karibia wote wanafanya hivyo sikuhizi , hamna mkulima fara , ule uijnga wa Magufuli kufunga mipaka kuzuia mkulima asiuze nje ulikuwa ni ufara na ndio maana kuna kipindi watu waliacha kulima, yaani nilime halafu niuze kisenge , ili iweje , pumbav
Huyo zwazwa anayesema wanaouza sasa hivi ni walanguzi aende Songwe akajionee ,pimbi kabisa
Mwehu huyo ,achana naye , watu wanalima huko si mchezo , mtu kama Sumri ana maelfu ya mahekari huko maporini katavi ,analima kwa mitambo ya mabilioni , mtu ana modern farming equipment kama tractors kubwa ,combined harvesters ,na mashine kubwa za kupulizia madawa nk , uwekezaji mkubwa kama huo limtambo limoja unakuta milioni 800 + huko , huko kaajiri wataalamu , halafu afanye risk zote na uwekezaji huo alime ,avune halafu uje umpangie bei zako za kifara fara wakati hapo Kenya na huko Sudan bei ya gunia la kilo mia moja la mahindi ni zaidi ya mara mbili ya bei ya bongo na watu wanapigwa njaa huko chakula hakitoshi na yeye akubali ,ashindwe kuchukua semi zake zile double containers za tani thelathini kila moja afunge kupeleka chakula huko akae na kukusikiliza wewe na kelele zako ? .Hilo jamaa ni lindina kabisa, wapo wakulima wachache waliuza mazao Kwa hasara, sasa ndo linajumuisha ni wakulima nchi nzima ndo hufanya hivyo, Mie nimeamua niliache liamini linavotaka lenyewe make ndo limeamua lisimamie huko sio rahisi kuliset Imani yake upya.
Usilie lie sana..bei ya mazao hayajapangwa na mlanguzi,,ila ni uhalisia tu wa demand and supply.Wahenga walisema akili ni nywele ila tatizo hawa kuidentify ni nywele za enaeo gani.
Kwa hiyo wewe unaona sawa bei kupangwa na walanguzi? Hivi husha jiuliza kila bidhaa ikipangwa na walanguzi hali itakuwaje na ndio maana nikakupa mfano wa mfamasia ila naona umeshindwa kufikiria nje ya boksi.
Pangeni bei ila ziendane na uhalisia ila si hizi za kilanguzi, hamna mkulima anayeuza chakula kwa sasa tunacheza ngoma za walanguzi.
Mimi silii wala nini kwani ninacho kiongea na kijua sio oya oya kaa nyie.Usilie lie sana..bei ya mazao hayajapangwa na mlanguzi,,ila ni uhalisia tu wa demand and supply.
Jaribu kuelewa mambo,msimu ulio pita uzalishaji wa mazao haukuwa mzuri..mfano wa mazao kama mahindi, Maharage na Mchele.
Mvua zilichelewa kunyesha na pia zilikatika mapema,hali iliyo pelekea wakulima kupata mavuno hafifu. Mimi ni mkulima,naelewa ninacho kuambia.
Unategemea kwa kuadimika kwa mazao,bei iwe namna gan? Kwa taarifa yako kwa hali ya mvua ilivyo ya kusua sua..tegemeeni pia mazao kama mahindi na Maharage pamoja na Mchele kupungua uzalishaji mwaka huu na hivyo bei itazid kupanda..
Jaribu kujielimisha maana ya DEMAND and SUPPLY.
Huo ulanguzi ndo umefanyika kwa mara ya kwanza? Miaka yote huo ulanguzi unafanyika na unalijua hilo..mbona bei zilikuwa hazipai kias hicho??Mimi silii wala nini kwani ninacho kiongea na kijua sio oya oya kaa nyie.
Wanaouza sasa hivi ni walanguzi hamna mkulima mwenye chakula chakuuza,kwani washamaliza tokea mwaka jana,vyakula wanavyo walanguzi.
Nyie endeleeni na siasa zenu za kovid, ukame ,Russia na Ukraine wahuni (walanguzi) wanapita nazo hivyo hivyo wanatengeneza faida.
Kwa hiyo kwa kuwa umefanywa miaka yote ndio UHALILISHE ?Huo ulanguzi ndo umefanyika kwa mara ya kwanza? Miaka yote huo ulanguzi unafanyika na unalijua hilo..mbona bei zilikuwa hazipai kias hicho??
Wakulima hawana kitu, nao wanalia njaa tu.Sijawahi kuuza mpunga kwa shillingi laki mbili kwa gunia.Ni msimu huu.Alisikika mkulima wa Kilangali Kilosa
Mkuu, nmekuulza..mbona huo ulanguzi unafanyika miaka yote? Na mwisho haupelekei mfumuko wa bei kama tunao uona mwaka huu. Unadhani serikali inahitaji kufanya nini hasa? Labda ifanye importation ya Maharage,mahindi na Mchele kutoka nje ili kuongeza supply kwenye mzunguko..kama ambavyo imefanya kwenye mafuta ya kupikia hyo pekee ni suluhu ya kudumu lakini vinginevyo huwezi kucontrol huo mfumuko wa bei za vyakula.Kwa hiyo kwa kuwa umefanywa miaka yote ndio UHALILISHE ?
Hivi kwani Bashe unazai hajui nini cha kufanya unazani? hivi unafahamu 2020 ,kulikuwa na ukame sana kwa nchi ya EA,kulikwa na lockdown ya Kovid ukanda huu wa EA,hata mvua hatukupata za kutosha ,Kenya walikuwa na hali mbaya sana kwani hata mazao yao mwengi yaliliwa na nzige ambao walikuwa wana karibia kufika Tanzania,kulikuwa hamna mfumuko wa bei wa kutisha.Mkuu, nmekuulza..mbona huo ulanguzi unafanyika miaka yote? Na mwisho haupelekei mfumuko wa bei kama tunao uona mwaka huu. Unadhani serikali inahitaji kufanya nini hasa? Labda ifanye importation ya Maharage,mahindi na Mchele kutoka nje ili kuongeza supply kwenye mzunguko..kama ambavyo imefanya kwenye mafuta ya kupikia hyo pekee ni suluhu ya kudumu lakini vinginevyo huwezi kucontrol huo mfumuko wa bei za vyakula.
Mafuta ya kupikia yameingizwa mengi kutoka nje tena bila kodi. hali iliyo pelekea soko la mafuta ya ndani kuporomoka na bei ya alizeti kuporomoka...hao hao wananchi wanapiga kelele tena.
Naomba kuungana na wewe hapo kwenye kudhibiti mipaka,pamoja na kuruhusu mchele,na Maharage kuingizwa kwa dharula kutoka nje ili kuongeza supply.Hivi kwani Bashe unazai hajui nini cha kufanya unazani? hivi unafahamu 2020 ,kulikuwa na ukame sana kwa nchi ya EA,kulikwa na lockdown ya Kovid ukanda huu wa EA,hata mvua hatukupata za kutosha ,Kenya walikuwa na hali mbaya sana kwani hata mazao yao mwengi yaliliwa na nzige ambao walikuwa wana karibia kufika Tanzania,kulikuwa hamna mfumuko wa bei wa kutisha.
Chakula tulicho nacho kinatutosha sana,wafunge mipaka na wacontrol bei. Ila ni kwambie ukitaka kujua wanaouza chakula ni walanguzi, serikali waruhusu Michele kutoka Asia huko ambao mchele ni cheap wanalima karibia mwaka mzima ,utawasikia walanguzi watakavyo lalamika na huto msikia mkulima hata mmoja kwani wao hawana chakula walioshikilia vyakula sasa hivi ni walanguzi.
Brother hali mbaya kitaa colabo ya wali maharage sasa hivi inafikia elfu 10000 je Mtanzania hali ya kawaida uwezo huo anao?
hapo bado collabo ya ugali maharage inaeza ikaemda zaidi ya 3000-4000,asubuhi basi watajibana kwa kula kiporo.
Mimi ninachotaka bei zile stahimilivu na halisi basi,maswala sijui eti nenda kalime, vip nae mfamasia akiamua kupandisha bei au ndio tutaambiwa tufungue na sisi maduka yetu ya dawa.
Si ukalime ili upunguze gharama ya vyakula mkuu? Kilimo sio lelemama. Wacha wanaolima wapate wanachostahili.Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Kwani hujaelewa kuwa sisi ni watumwaRubbish ,ni bora uandike kisukuma
Cheap politicsLuhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Wizara ya kilimo aliweza mzee Wassira tu[emoji3][emoji3]sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4