Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Leta tako hilo nikupasue huo mcunduWewe unategemea ujanja wa kulangua bei utagongwa kima, fanya vitu kiuhalisia na si tamaa za kijinga kama mtoto wa kike ,utatuliwa Linda kima wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta tako hilo nikupasue huo mcunduWewe unategemea ujanja wa kulangua bei utagongwa kima, fanya vitu kiuhalisia na si tamaa za kijinga kama mtoto wa kike ,utatuliwa Linda kima wewe.
Wewe unategemea ujanja wa kulangua bei utagongwa kima, fanya vitu kiuhalisia na si tamaa za kijinga kama mtoto wa kike ,utatuliwa Linda kima wewe.Leta tako hilo nikupasue huo mcundu
Wewe unategemea ujanja wa kulangua bei utagongwa kima, fanya vitu kiuhalisia na si tamaa za kijinga kama mtoto wa kike ,utatuliwa Linda kima wewe.Naishi kijanja kwa kujulisha wewe na kukufira
Leta tako hilo nikupasue huo mcunduWewe unategemea ujanja wa kulangua bei utagongwa kima, fanya vitu kiuhalisia na si tamaa za kijinga kama mtoto wa kike ,utatuliwa Linda kima wewe.
Wewe unategemea ujanja wa kulangua bei utagongwa kima, fanya vitu kiuhalisia na si tamaa za kijinga kama mtoto wa kike ,utatuliwa Linda kima wewe.Leta tako hilo nikupasue huo mcundu
Leta tako hilo nikupasue huo mcunduWewe unategemea ujanja wa kulangua bei utagongwa kima, fanya vitu kiuhalisia na si tamaa za kijinga kama mtoto wa kike ,utatuliwa Linda kima wewe.
Wewe unategemea ujanja wa kulangua bei utagongwa kima, fanya vitu kiuhalisia na si tamaa za kijinga kama mtoto wa kike ,utatuliwa Linda kima wewe.Leta tako hilo nikupasue huo mcundu
Ukisikiliza hotuba ya waziri wa kulimo.. hiyo bei mbona bado ndogo? Itapanda mpaka mpandishe mashetani[emoji28]... CCM[emoji706][emoji3][emoji3]sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4
Ulitata Mh Bashe afanyeje kwa mfano?Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Mnashindwa kutofautisha kati ya mkulima na mfanya biashara,mkulima aliuza mpunga 70000 gunia likiwa shambani,leo hii nayeye anagonga noki kama raia wengine nakununua kilo 3500 ya mchele.Sijawahi kuuza mpunga kwa shillingi laki mbili kwa gunia.Ni msimu huu.Alisikika mkulima wa Kilangali Kilosa
Watanzania wote asili yetu ni Vijijini. Anachokifanya Waziri Hussein Bashe ni kubadilisha mfumo kandamizi kwa Mkulima ili huyu Mkulima aone manufaa ya kazi yake.Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa kuyala. Alafu bila aibu unajitapa unamlinda mkulima.
Hii ni nonsense
View attachment 2509050
Hivi sasa Wilayani Mvomero, Mpunga unauzwa Sh. 160,000/= kwa gunia Shambani kwa Mkulima. Hii ni katika Vijiji vya Hembeti, Dihombo, Bungoma, Mkindo, Kigugu na Mbogo.Mnashindwa kutofautisha kati ya mkulima na mfanya biashara,mkulima aliuza mpunga 70000 gunia likiwa shambani,leo hii nayeye anagonga noki kama raia wengine nakununua kilo 3500 ya mchele.
Mungu aliwapa Watanzania ardhi yao ,wasomali ardhi yao, Waarabu ardhi yao, Wahindi Ardhi yao, wazungu Ardhi yao, wachina ardhi yao.Shida ni wazungu, wanatutawala kupitia mikopo, period
Umenikuna na kunizima data,hongera kwa andikoMungu aliwapa Watanzania ardhi yao ,wasomali ardhi yao, Waarabu ardhi yao, Wahindi Ardhi yao, wazungu Ardhi yao, wachina ardhi yao.
Wazungu wamekuja wameua mazao yetu ya asili na kuleta mazao yao kama pamba ,tumbaku,kahawa, katani, korosho, chai n.k.
Mungu akatupa Kiongozi aliyeweza kurudisha ardhi tuliyoporwa na Wageni na kuturudishia ili tuilime chakula chetu na watoto wetu . Cha ajabu watawala wasiojali hata Uafrika wetu na tamaduni zetu wamewapa wageni ardhi yetu kupitia mawakala wao wahuni.
Leo sio TU ardhi tunawapa mpaka madaraka Kwa rushwa. Wahindi ,wasomalia na Waarabu wanaingia Bungeni kumwakilisha nani kama sio maslahi yao ??
Ni lazima uzalendo uonenekane kuanzia kwenye kulinda nchi yetu na ardhi yake dhidi ya wavamizi wa kigeni, kule Loliondo wenye nchi wanamishwa ili wageni wakae ,hii haipo popote Duniani .
Pesa zimewafanya Wenyeji wawapigie magoti wageni wakishirikiana na Watawala kupora Rasilimali za nje . Matajiri wageni wamekua na Chawa wao na watawala wameungana dhidi ya Rasilimali za nchi
Chakula kikiwa ghali wanaoumia ni watoa huduma nyingine. RUSHWA INASHAMIRI , URASIMU , KUPANDA BEI BIDHAA NYINGINE MANA WAKULIMA HAWANA VIWANDA AU HUDUMA NYINGINE AU BIDHAA NYINGINE.
TUNA SERIKALI YA WATU WACHACHE SANA WASIOZUDI 5000 ,HAWA HAWAJUI UGUMU WA MAISHA HATA KILO YA Maharage ifike Sh. 10,000/- hawaoani shida kwani kwao tatizo sio pesa . Kwao tatizo ni namna ya kuendelea kutawala na kujichotea Mapesa ya umma.
Mtu unanunua umeme wa Sh. 10,000/- halafu unakatwa zaidi ya sh. 3000/- hujui Kwa Nini unadhulumiwa pesa zote hizi wakati hitaji lako ni umeme wa Sh. 10,000/-
Hayo Makato unayokatwa unakatwa ya Nini wakati hujapoingiza pesa .
Ni ajabu kabisa kuona watu wanahamasisha watu kuuza chakula Kwa Bei ya juu . Chakula ni uhai kama ilivyo hewa na maji. Huwezi ukawauzia watu uhai Kwa Bei ya juu. Hivi vitu ndio maana vinapatikana kwenye Ardhi tuliyopewa Bure na Mungu.
Ni kazi ya serikali kusimamia Rasilimali tulizopewa Bure na Mungu ili wanadamu wote wazipate Bure.
Maji watu wanatakiwa wayapate Kwa urahisi sana , hewa , maji na hata makazi . Ardhi unatakiwa imilikiwe na Wenyeji tuu.
Watu wakiwa na chakula Cha kutosha Kwa Bei nafuu magonjwa yatapungua na uhalifu utapungua mana njaa ndiyo inayoleta matatizo mengine yote ikiwemo magonjwa.
Serikali inayoshindwa kuweka usimamizi mzuri wa Rasilimali za nchi haitakiwi iendelee kukaa madarakani. Chakula kinscholimwa kwenye Ardhi aliyotupa Mungu wameshindwa kuhakikisha wanadamu wanapata chakula.
Eti Mbolea ilikua Bei kubwa. Waache uwongo . WAKULIMA wengi wanalima bila kuweka Mbolea mana ardhi yetu Ina rutuba ya kutosha.
Mazao kama nyanya ,hoho, n.k.ndiyo yanahitaji Mbolea na madawa Mengi lakini Kwa Maharage na Mpunga asilimia kubwa Bado wanalima kienyeji.
Cha ajabu wanyama wa porini wanazidi kustawi kwenye nchi hii iliyo na ardhi yenye mito ,maziwa ,na rutuba nyingi kuonyesha kuwa Binadamu waliopo wameshindwa kutumia akili kuishi kwenye Ardhi ya nchi hii iliyojaa rutuba isiyohitaji kemikali kuotesha mazao Wala kupata uzao.
Tuwakatae wale wasiotaka Katiba mpya inayotoa mianya Kwa wachache kuwaumiza wengi Kwa tamaa zao.
Utaambiwa ukalime mkuu[emoji3][emoji3]sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4
Mkulima hawezi kulima kila kitu yaani alime maharage , mchele , mahindi na mafuta laizima kuna mahitaji atanunua tu kwa hiyo hiyo athari ni ya kwa woteMkulima naye ni Mtanzania anastahili anufaike na anachozalisha.
Hivi sasa kula wali maharage ni anasa😀😀sijawahi kutana na mwaka mchele unauzwa elf 3500 maharage afu4