Bashe: Wananchi acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp

"Kama una hela nunua ardhi ajiri kijana wa chuo kikuu halafu zalisha".
Kwa pembejeo zipi na ruzuku zisizoeleweka. Hata kilimo cha mdomo kama anachokitoa yeye sio kilimo.
Lakini si angalao anaanzisha mjadala, watu wajifunze na kujua maswala na matatizo ya kilimo?

Kwa upande huo nadhani anastahili kuungwa mkono.
 
"Kama una hela nunua ardhi ajiri kijana wa chuo kikuu halafu zalisha".
Kwa pembejeo zipi na ruzuku zisizoeleweka. Hata kilimo cha mdomo kama anachokitoa yeye sio kilimo.
Ni hela kiasi gani unapaswa kuwa nayo ili kuajiri kijana wa chuo kikuu? Kumbuka vijana wengi wa vyuo vikuu wana high expectations, huku wakiwa hawapendi kazi ngumu.
 
Bashe ndio ana majibu yote [emoji16][emoji16]
 
"Kama una hela nunua ardhi ajiri kijana wa chuo kikuu halafu zalisha".
Kwa pembejeo zipi na ruzuku zisizoeleweka. Hata kilimo cha mdomo kama anachokitoa yeye sio kilimo.
Kulima mpaka upewe ruzuku!?..
 
Ni hela kiasi gani unapaswa kuwa nayo ili kuajiri kijana wa chuo kikuu? Kumbuka vijana wengi wa vyuo vikuu wana high expectations, huku wakiwa hawapendi kazi ngumu.
Unaajiri wa SUA,siyo mtu kasoma nursing unampeleka shamba
 
Wapi huko?
 
nishawahii kutoa topic humu vijana walime na assistance serikali ifanye, tuna arable land kubwa,nafurahi kuona serikali inasikiliza,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…