Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Alafu pia kampuni za simu Zina tabia hi mfano nimeweka vocha ya 1000 nikitaka kujiunga wananiletea meseji no connection na wakati huo ukute nina shida Sana ya kuongea na mtu. Unajisahau ukijua umeunganishwa kumbe wanakula pesa ya vocha bila kujiunga ukiongea dakika 3 au 5 salio limekata, alafu wananiletea sms umebakiza shilingi 100 kwaiyo nifanye nayo Nini kuna kifurush Cha 100?

Kero nyingine kampuni za simu, mfano nina sh 5000 kamili kwe' tpesa, mpesa, a'money lengo langu ni kununua umeme wa luku lakina kila nikitahidi kununua wanssema no network au huna salio la sh 5000 kukamilisha muamala, wkt Nina hakika Nina 5000 kwe' akaunti, mwishowe ninaamua kuuliza salio nililonalo wanakujibu fasta salio lako ni sh 4,950 hapo tayari wameshakukata sh 50 ya kuulizia salio, huu wizi mchana kweupe Kama network hamna si isisome hata salio ! Kwanini kunipunguzia oesa yangu niliyojipanga. Usumbufu usio na msingi Africa kukwamishana tu, wanaboa
 
Unaingia mgahawani unanunua chai na magimbi mawili, unakunywa chai kwa dakika 20 halafu mwenye mgahawa anakuja anakuambia muda wako umekwisha wakati huo umekunywa chai na kipande kidogo cha gimbi, hapo anachukua gimbi na kipande kilichobaki na kukutaka uondoke
 
Unaingia mgahawani unanunua chai na magimbi mawili, unakunywa chai kwa dakika 20 halafu mwenye mgahawa anakuja anakuambia muda wako umekwisha wakati huo umekunywa chai na kipande kidogo cha gimbi, hapo anachukua gimbi na kipande kilichobaki na kukutaka uondoke
Nchi za dunia ya kwanza nimetajirika kupitia Afrika hata watumwa walikuja kuchukua Afrika. Afrika tunashida gani?
 
mtoa mada umeandika nlichokuwa nakiwaza miaka mingi sana..hii ni kasumba na ufisadi mkubwa nchini..hongera sn kwa wazo lako
 
Mkuu kwani unaponunua bidhaa dukani ukaitumia nusu na nyingine ikabaki, ukafika muda wa ku expire utaenda kuuliza kwa nini ime expire kabla ya kwisha?! Makubaliano ni hayo ya kwenye kifurushi, masaa au siku au mwezi. Kama hutai jiunge na huduma ya malipo baada ya matumizi kwnye hiyo mitandao.
 
Shtaka Namba moja huwa kuna vigezo na masharti yake kwa kuwa hiyo ni biashara. Bila kuweka muda wa ukomo katika vifurushi ni sawa na na kutoa sadaka tu, haiwi biashara hiyo.
 
Na ukihitaji michango yetu ili kuungurumisha shauri hili mahakamani usisite kutuarifu mkuu,goodluck,kama serikali imekaa kimiya ila wewe umeliona naunga mkono hoja mkuu
 
Naona watanzania kushabikia hili jambo, kumbuka akishinda vifurushi vya 1000 vitakuja na dkk 3 mtumie bila kikomo
 
Asante kwa niaba yetu, hii kesi unashinda mchana kweupe. Ukimalizana na hawa shughulika na watu wa visimbusi (ving'amuzi) nao wana tabia hizo hizo
Naam, hawa nao waweke mita za matumizi. Nililipa king'amuzi cha DSTV cha mwezi mmoja wakati Fulani na baada ya siku tatu kukaanza mgao wa umeme kila jioni mtaa wetu hauna umeme kuanzia SAA 10 hadi SAA 4 usiku hivyo hakuna anaye angalia TV mchana maana wote hawapo na usiku ukirudi watu wamelala. Baada ya mwezi huduma ikarudi kawaida na DSTV Keisha bila kutumika
 
Kwa wenzetu tayari
Screenshot_20191102-100750_Parallel%20Space%2064Bit%20Support.jpeg
 
Back
Top Bottom