Alafu pia kampuni za simu Zina tabia hi mfano nimeweka vocha ya 1000 nikitaka kujiunga wananiletea meseji no connection na wakati huo ukute nina shida Sana ya kuongea na mtu. Unajisahau ukijua umeunganishwa kumbe wanakula pesa ya vocha bila kujiunga ukiongea dakika 3 au 5 salio limekata, alafu wananiletea sms umebakiza shilingi 100 kwaiyo nifanye nayo Nini kuna kifurush Cha 100?
Kero nyingine kampuni za simu, mfano nina sh 5000 kamili kwe' tpesa, mpesa, a'money lengo langu ni kununua umeme wa luku lakina kila nikitahidi kununua wanssema no network au huna salio la sh 5000 kukamilisha muamala, wkt Nina hakika Nina 5000 kwe' akaunti, mwishowe ninaamua kuuliza salio nililonalo wanakujibu fasta salio lako ni sh 4,950 hapo tayari wameshakukata sh 50 ya kuulizia salio, huu wizi mchana kweupe Kama network hamna si isisome hata salio ! Kwanini kunipunguzia oesa yangu niliyojipanga. Usumbufu usio na msingi Africa kukwamishana tu, wanaboa