Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

Mimi natabiri kipigo cha 2-0

Goli la mapema kabisa tutapata USM ALGER

Then baada ya hapo Yanga watacheza sana rough na kadi nyingi za njano zitatolewa.
Kikwapi umejificha wapi aseee
 
Back
Top Bottom