Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

JF Ina editing unajua hilo au utakariri komenti zote
 
Kwa vile Dar inanyesha....

Na kuna video zinaonyesha Algiers pia kunanyesha...

Basi matokeo yatakuwa wao 3 sisi 0

 
Usma 2 - 3 Young african sc
Agr - Usma 4 - 4 Young african sc.

Pesa yangu nitumie kwa namba hii
0675626996 jina ZUHURA
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Yaani bila bila halafu aggregate iwe 1-0
Mkuu hebu usinipotezee mashabiki naomba Sana. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€ πŸ€ πŸ€ πŸ€ 
 
Back
Top Bottom