Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

Andaa hiyo buku tano yangu kabisa
 
Yanga anashinda goli 2 kipindi cha kwanza goli 1 kipindi cha pili goli 1 mpira umeisha
 
Weka ubashiri wako na ulambe elfu tano hiyo kesho, mwisho wa ubashiri ni saa 3:59 usiku wa kesho, yaani dakika 1 kabla ya mechi kuanza.

Haya tiririka na serereka
Sio tubashiri ila anzeni kutupa ushindi wetu πŸ˜‚
 
nasikitika kusema Yanga inafungwa kwa mujibu wa tabiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…