Kuanzia leo jiandae kununiwa na Demisshahahaaa huyo achana nae wala asikupe shida ...hahaa nimeshamzoea aiseee
Ukichonifanyia njia ya muongo fupihahaaa nilishakwambia kuwa mimi ni she male ..sasa tatizo lako nini
hahaa mtoto hana adabu huyo ...Anataka maji niite m'maHahahaa. Anataka akuzimishe lol.
hahaaa mkuu nimekufanyaje ...fafanua vizuri ..mimi mambo yakutafutwa na bastola na hao masponcer wako siyataki..hahaaUkichonifanyia njia ya muongo fupi
Duuh!Numbisa.
*Ana umri wa miaka 28-33
Kimo chake ni 5'3"
*Ana mwanya wa kichokozi
*Sio muongeaji sana, ni msikilizaji.
*Anapendelea kuvaa nguo ndefu
*Mambo yake anayafanya bila kufuata mkumbo.
*Hasira zake ziko mbali, ila zikiwaka zinawaka kweli.
*Sio tegemezi kwa lolote kwa chochote.
*Sio mkurupukaji wa kutenda jambo.
*Ni mvumilivu, drop her anywhere she can survive.
Weakness:
Hatimizi mipango yake kwa wakati.
Good morning!
hahahah basi poaNikiweka atakuwa hataki kuchat na mimi.
Numbisa.
*Ana umri wa miaka 28-33
Kimo chake ni 5'3"
*Ana mwanya wa kichokozi
*Sio muongeaji sana, ni msikilizaji.
*Anapendelea kuvaa nguo ndefu
*Mambo yake anayafanya bila kufuata mkumbo.
*Hasira zake ziko mbali, ila zikiwaka zinawaka kweli.
*Sio tegemezi kwa lolote kwa chochote.
*Sio mkurupukaji wa kutenda jambo.
*Ni mvumilivu, drop her anywhere she can survive.
Weakness:
Hatimizi mipango yake kwa wakati.
Good morning!
hahahahaha...Nahisi Mwifwa atakua anazo sifa zake nyingine .. nahisi tu Demiss
1. Anadeka as usual
2. Ana kitumbua kizuriiii matatttta hatariii
3. Ana nguvu noma mwanaume ukiwa Lele mama unashangaa na uanaume wako umekufa hotelini bonge hana hamu na tototundu hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Smart911
Hahahaa. Kabisa yaani.Mwenzangu nimechorwa nikachoreka hahahaha
Hahahahaa! Asante.Kuna sehemu umepatia kabisaaa hasa weakness. Thank u much my dear
AiseeeeHahahaaaa. Nimecheka hapo kwenye Usiri. Lol. Ujue we ni mtu wa pili kuandika ulichoandika.
theriogenology naye ashawahi andika sehemu hivi kuhusu Emmy.
Ila ahsante sana kwa kunielewa. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahaaa.Aiseeee
Waleykum msalaam shekhe, kwema??Ahsalam aleykum
Kwema kabisaWaleykum msalaam shekhe, kwema??
We mleta uzi ujue imebidi nijifikiria mara mbili mbili. Ila kuna chembe ya ukweli japokuwa umeongeza chumvi.
Hahahaa swts umenichekesha mnoo, hivi kumbe huwa unafikiri mimi ni binti? Ntakutumia birth certificate kabisa lolHeaven sent ni binti ambae umri wake ni 23-27. Mcha Mungu na pia ni mshauru mzuri.
Sky eclat. Doctor by professional and very caring mother abd friend.
Nimeona nisikujibu kwa heshima Yake Heaven Sent
Hahaha karibu sanaHuyu Heaven sent natamani kumfahamu zaidi [emoji45]
Nimekuja kwa kweli. Sio kwa kunibintisha hukoNahisi ni binti asiye na mawaa Heaven Sent njoo ufahamiwe