Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Numbisa.

*Ana umri wa miaka 28-33
Kimo chake ni 5'3"
*Ana mwanya wa kichokozi
*Sio muongeaji sana, ni msikilizaji.
*Anapendelea kuvaa nguo ndefu
*Mambo yake anayafanya bila kufuata mkumbo.
*Hasira zake ziko mbali, ila zikiwaka zinawaka kweli.
*Sio tegemezi kwa lolote kwa chochote.
*Sio mkurupukaji wa kutenda jambo.
*Ni mvumilivu, drop her anywhere she can survive.

Weakness:
Hatimizi mipango yake kwa wakati.
Good morning!
 
Duuh!

Numbisa.
 
Kuna sehemu umepatia kabisaaa hasa weakness. Thank u much my dear
Numbisa.

*Ana umri wa miaka 28-33
Kimo chake ni 5'3"
*Ana mwanya wa kichokozi
*Sio muongeaji sana, ni msikilizaji.
*Anapendelea kuvaa nguo ndefu
*Mambo yake anayafanya bila kufuata mkumbo.
*Hasira zake ziko mbali, ila zikiwaka zinawaka kweli.
*Sio tegemezi kwa lolote kwa chochote.
*Sio mkurupukaji wa kutenda jambo.
*Ni mvumilivu, drop her anywhere she can survive.

Weakness:
Hatimizi mipango yake kwa wakati.
Good morning!
 
Nahisi Mwifwa atakua anazo sifa zake nyingine .. nahisi tu Demiss
1. Anadeka as usual
2. Ana kitumbua kizuriiii matatttta hatariii
3. Ana nguvu noma mwanaume ukiwa Lele mama unashangaa na uanaume wako umekufa hotelini bonge hana hamu na tototundu hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc Smart911
hahahahaha...
hii nahisi atakuwa hivi hivi kabisaa...hasa namba 2😛🙄
 
Heaven sent ni binti ambae umri wake ni 23-27. Mcha Mungu na pia ni mshauru mzuri.

Sky eclat. Doctor by professional and very caring mother abd friend.
Hahahaa swts umenichekesha mnoo, hivi kumbe huwa unafikiri mimi ni binti? Ntakutumia birth certificate kabisa lol
Nimeona nisikujibu kwa heshima Yake Heaven Sent
 
Back
Top Bottom