Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

hapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu

though nafurahishwa na uwepo wa Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile

list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo. nakinachonifnya niwakubali nimichango yao wanayoitoa kimawazo inayosaidia kuifnya jf izidi kuwa na umri mrefu"" tabia zao nikupenda kwao kuwa active JF kila wakati "" nashindwa kuelezea sifa ya kila mtu mmoja mmoja kwa sbabu list nikubwa nahisi nikianza kuelezea hapa nitajikuta nime type MWANANCHI GAZETI
9 Female : 5 Male
Nice job
 
mwifwa a very coool guy humu jf hapendi makuu...
beira boy dah huyu jamaa hana hasira mwongo mwongo sana kutokana na nyuzi zake anaonekana anapenda sana stori...
gudume huyu namwona kama middle aged flani hivi mpole nyumbani ukorofi wake ndo anatusumbua humu...
demiss ....huyu kama ameolewa mme wake atakua hajui yuko jf maana.......
 
Kwamba ndio hivo vijiba vinawakaba au!!
[emoji23][emoji28][emoji23] hahaha aisee nimecheka wakati nataka nivimbe hapa nikasirikee [emoji19][emoji19][emoji20][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji35][emoji20][emoji19][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
1.The List= jamaa ni bonge la smart, genius, na mwenye msimamo!...hapendi ujinga ujinga hata kidogo, akikuchamba humu unaeza jihisi we ni wa ovyoo mnoo!

2.Nandera= ni mdada smart na anajua vitu vingi mnoo

3.Avatar mok= huyu jamaa anapenda sana utani, kitu serious yy anachomekea stori zake za vijiweni, halafu yuko obsessed na witnessj, hata kama mada hainihusu lazima achomekee jina langu[emoji23] [emoji23] [emoji23] !!
hahaha umempa tuzo the list hahaha
 
mwifwa a very coool guy humu jf hapendi makuu...
beira boy dah huyu jamaa hana hasira mwongo mwongo sana kutokana na nyuzi zake anaonekana anapenda sana stori...
gudume huyu namwona kama middle aged flani hivi mpole nyumbani ukorofi wake ndo anatusumbua humu...
demiss ....huyu kama ameolewa mme wake atakua hajui yuko jf maana.......
mshana jr tabia ya kugawa tunguli ovyo ovyo uache[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwamba ndio hivo vijiba vinawakaba au!!
[emoji23][emoji28][emoji23] hahaha aisee nimecheka wakati nataka nivimbe hapa nikasirikee [emoji19][emoji19][emoji20][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji35][emoji20][emoji19][emoji125][emoji125][emoji125]
Kinachokufanya uvimbe kama hivi ni nn
image_search_1520239591809.jpeg
 
Always love never hate.. Even your rivals treat them with love.. No matter how much they hate you... Jus love dem... You will always stay health happy and forever young... While they get old worn out and always sick.....
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Mrs Mshana Jr
 
Back
Top Bottom