Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Leo pale kulikuwa na mazishi? Kwani katibu mkuu wa CCM kumuwakilisha mwenyekiti wake kwenye msiba ni kosa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja.Leo pale kulikuwa na mazishi? Kwani katibu mkuu wa Ccm kumuwakilisha mwenyekiti wake kwenye msiba ni kosa?
Kadiri uchaguzi unavyokaribia akili zinawaruka.Kati ya maswali ya kijinga kuwahi kuulizwa na muuliza swali ni hili?
Mkuu, tulia basi! Ya nini utake kujidharirisha?kwisha habari yenu nyinyi Kagera mpaka hela ya tetemeko mrudishe , wanafiki wakubwa !
Watoto ni malaika!siasa za kishamba za ccm zitawaponza watoto wa watu roho zao zisipokelewe na Mwenyezi Mungu
Ni katibu mkuu wa Chama tawala kwisha Serikali haijabadilika mpaka baada ya uchaguziKatibu Mkuu Wa CCM unafikiri ni sawa na huyo wenu aliyefeli shule!!?
Na inashangaza sana jambo hili halikubaliki hata kidogo.ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau kubwa sana kwa wananchi na marehemu wao...
Awamu hii nchi inaongozwa kama gari bovu. Mambo ni zaidi ya shaghala baghala sasa ni "Baghala shaghala"Zaidi ya kelele zako huyu hana mamlaka yoyote kitaifa ya kuongoza chochote popote
ninashaka huenda ww ndiye mkuu wa kambi ya upinzani humu jf.. nahuenda unamaslahi mapana kwa kusimama kidete na chama cha wasaliti cdm🤔🤔kwisha habari yenu nyinyi Kagera mpaka hela ya tetemeko mrudishe , wanafiki wakubwa !
tutahakikisha ccm inang'olewaninashaka huenda ww ndiye mkuu wa kambi ya upinzani humu jf.. nahuenda unamaslahi mapana kwa kusimama kidete na chama cha wasaliti cdm🤔🤔
Nawe kufa ili msimualikeITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau kubwa sana kwa wananchi na marehemu wao.
Kuleta kampeni za kishamba kwenye misiba isiyo ya kisiasa haikubaliki na hali hii ikiachwa iko siku itakuja kuleta machafuko kwenye misiba na kuharibu shughuli za watu, fanyeni siasa zenu majukwaani.
Napinga CCM chama kilichokongoroka kujaribu kutumia majanga kujinadi, marehemu hao ambao walikuwa watoto hawakuwahi kuwa na kadi za CCM, za chipukizi wala za UVCCM, hii haikubaliki hata kidogo.
Kwani katiba inasemaje kuhusu Nani awe mgeni rasmi katika shughuli za kijamii?Kwenye katiba ya Tanzania kaandikwa ibara gani ? acheni siasa za kishamba nyie wanafiki .
Rambi rambi walitoa bei gani!?ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau kubwa sana kwa wananchi na marehemu wao.
Kuleta kampeni za kishamba kwenye misiba isiyo ya kisiasa haikubaliki na hali hii ikiachwa iko siku itakuja kuleta machafuko kwenye misiba na kuharibu shughuli za watu, fanyeni siasa zenu majukwaani.
Napinga CCM chama kilichokongoroka kujaribu kutumia majanga kujinadi, marehemu hao ambao walikuwa watoto hawakuwahi kuwa na kadi za CCM, za chipukizi wala za UVCCM, hii haikubaliki hata kidogo.
ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau kubwa sana kwa wananchi na marehemu wao.
Kuleta kampeni za kishamba kwenye misiba isiyo ya kisiasa haikubaliki na hali hii ikiachwa iko siku itakuja kuleta machafuko kwenye misiba na kuharibu shughuli za watu, fanyeni siasa zenu majukwaani.
Napinga CCM chama kilichokongoroka kujaribu kutumia majanga kujinadi, marehemu hao ambao walikuwa watoto hawakuwahi kuwa na kadi za CCM, za chipukizi wala za UVCCM, hii haikubaliki hata kidogo.
CCM wanatafuta kura za huruma mpaka msibaniITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau kubwa sana kwa wananchi na marehemu wao.
Kuleta kampeni za kishamba kwenye misiba isiyo ya kisiasa haikubaliki na hali hii ikiachwa iko siku itakuja kuleta machafuko kwenye misiba na kuharibu shughuli za watu, fanyeni siasa zenu majukwaani.
Napinga CCM chama kilichokongoroka kujaribu kutumia majanga kujinadi, marehemu hao ambao walikuwa watoto hawakuwahi kuwa na kadi za CCM, za chipukizi wala za UVCCM, hii haikubaliki hata kidogo.
Moto uliletwa na serikali?ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau kubwa sana kwa wananchi na marehemu wao.